economista
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 291
- 247
Hivi unaweza kumuajiri mwalimu wa chuo kikuu kutoka SAUT/IFM/CBE/SJUT/....... hao hawafundishwi kuwa waalimu bali kuwa watendaji? So wanaajirika ila sio katika kila ajira?
Ukitaka kujua hilo angalia course contents za hivo vyuo na mitahani yake utajua tu maandalizi yao yako tofauti kbs!
Acha uongo ww.mbona course content ya saut kwenye course ya BA and MA Economics ni same as that of udsm? Na walimu karibia wote wa hii course ni product ya udsm na ndiomaana wakati saut wanaanzisha hiyo course walikuwa wanawatumia department ya uchumi pale udsm. Pia mitihani yote ya uchumi ya saut inakuwa moderated na udsm economics department.
So unaposema hivi vyuo vingine haviandai waalimu unakuwa ni km hujielewi unachoongea.