Mimi siamini kabisa mhitimu let say Harvard University atakuwa sawa na mhitimu wa UDOM. Hebu tuelezeni ranking ya vyuo hivyo vingine eg IFM, Mzumbe, MUCOS, DIT, OUT, ziko je ukilinganisha na UDSM, Hilo tu can tell a lot about wahitimu wa respectvies Universities
..ukitaka kufuata hiyo procedure, u will get wrong answer, ranking huwa haifuat ufundishaji kama. Ubora WA Chuo kwa ranking Ni facilities. Na kuwa na facilities haimaniishi ndo watu watakuwa wazuri. Discipline and hardworking. He Hilo unalijua?
Duh! Kwa hili Nawapa pole udom.
Engneer wa milungi
sio kosa lako tatizo ulisoma vyuo vya kata. Na HKL
...subiri nitumie PC, maana hii simu inazinguaNakwambia hicho ni kigezo kimojawapo kinachotumika to rank universities. Kama wewe unaamini kwamba mhitimu wa OUT (Open University of Tanzania) No disrespectful to OUT, baada kuhitimu kozi ya aina moja rna mhitimu wa Harvard University watakuwa sawa, then we are living in a different world. BTW, hivi nini mantiki ya kuzifanyia Universities ranking? are they doing that for fantasy?
mleta mada acha kutoa hoja bila kufanya utafiti wowote. me binafsi nilisoma PSPA UDSM na mwaka jana niliomba nafasi ya TUTORIAL ASSISTANT Pale. niliitwa na watu wa UDOM Pia waliitwa na walihudhuria Usaili. Udsm au chuo kingine chochote hakiwezi kuajiri wanafunzi wa kutoka vyuo vyote. kwa mfano pale MZUMBE hakuna PSPA, sasa unadhani zikitangazwa nafasi za political science wahitimu wa Mzumbe wataomba? nyie watu wa kutoka vyuo vingine hebu mjiamini basi acheni inferiority complex hizo
Nadhani wewe ni engineer wa matusi. Kwani wewe ulisoma chuo ambacho hakiko kwenye ward boundary???
Hawa ndo mainjinia wetu, wajenzi wa magorofa yanayoanguka kila kukicha. Heri yangu mimi niliyejifunza elimu ya jf.
Kwa hiyo dukuduku lako ni UDSM
Nadhani tunahitaji bodies za mitihani ili vyuo vyote wanafunzi wake wawe wanafanya mtihani mmoja. Haya ma GPA ya baadhi ya vyuo hayawakilishi uwezo wa wanafunzi.
Hivi unaweza kumuajiri mwalimu wa chuo kikuu kutoka SAUT/IFM/CBE/SJUT/....... hao hawafundishwi kuwa waalimu bali kuwa watendaji? So wanaajirika ila sio katika kila ajira?
Ukitaka kujua hilo angalia course contents za hivo vyuo na mitahani yake utajua tu maandalizi yao yako tofauti kbs!
Kwa maana hiyo ni kuwa hata watu wanaosoma vyuo vingine ambavyo hujavitaja hapo kama UDSM na Mzumbe hawafai kufundisha vyuo hivyo wewe ulivyosema vinafundisha utendaji! kwa kuwa wao walipokuwa chuo hawakujifunza utendaji bali kusoma kwa nadharia. Sasa mtu ambaye hakujifunza utendaji atamfundishaji mtu anayetakiwa kusoma utendaji? kumbe ndiyo maana vyuo vya NACTE vinaajiri watu waliosoma vyuo vyao kwa sana kuliko Universities kwa kuwa watu wa Universities hawajui kufundisha kwenye vyuo vya aina hiyo! hapo nimekupata!Hivi unaweza kumuajiri mwalimu wa chuo kikuu kutoka SAUT/IFM/CBE/SJUT/....... hao hawafundishwi kuwa waalimu bali kuwa watendaji? So wanaajirika ila sio katika kila ajira?
Ukitaka kujua hilo angalia course contents za hivo vyuo na mitahani yake utajua tu maandalizi yao yako tofauti kbs!