Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,301
Happy birthday
Solve this equation bro.Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi
Nadhani ili kuepusha hayo, vyema Mwanaume apumzike kunywa/kulewa wakati anaendelea kupambana na ishu ya kuongeza kipato na kazi.
Kampani tu inatosha kukulewesha hata ukikosa hela, walevi wana umoja sana kwenye unywaji.Utakuta huna kazi halafu kwa siku unakunywa pombe za 10k+. Hapo bado haujampa offer bar maid. Kwa mwezi ni zaidi ya laki 4.
Mimi nipo upande wa mke wako, acha pombe.
Mbn haielewek mara "mimi" mara "yeye" mara "wao" nafsi tofauti zinatumikaBrother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushuri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?
Happy Birth Day to you April26 AKA MuunganoBrother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushuri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?
Acha tu mwananzengo!Kazi za mikataba zimewaumiza wengi sana waliokuwa wameoa mkataba unapoisha na hakuna kurenew
Pole kwa mwanetu Mungu ampe wepesiAcha tu mwananzengo!
Jamaa yangu alikuwa DTB bank mkataba ulipoisha hakuna rangi aliacha kuona ya mkewe ilifikia hatua mke anarudi muda anaotaka, ila hawa watu hawa Mungu tu ndio atutetee...
Uchumi ukiyumba basi jua ndoa yako iko matatani anytime kila mtu atashika njia yake...
[emoji23] Jamaa yangu huyu alishawahi fumaniwa na mkewe na bado akasamehewa wakati huo pesa sio tatizo sasa mkataba ulipoisha tu ilikuwa ni balaa.Pole kwa mwanetu Mungu ampe wepesi
Wanawake ni viumbe wabinafsi sana na wanafiki wako kimaslahi wanajua sana kuigiza kukupenda ukiwa nazo fulia uone aisee wana dharau sana kuna wana kipao kimepungua hata unyumba hawapewi
Ndo mana tulioshtuka tunasema KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI ni kula tu mbususu na kusepa haina kuweka ndani matapeli
Kwanza ondoa wazo la kutoa mimba, acha MKEO azae. NAKWAMBIA KWA BARAKA YA MTOTO HUYO ALIYETUMBONI UTAPATA KAZI NZURI SANA NA YENYE KIPATO KIKUBWA SANA. Gusa tumbo la MKEO huku ukitamka akusamehe huyo ALIYE TUMBONI Kwa maneno uliyotamka ya kumzurumu uhai akiwa TUMBONI.Brother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushuri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?
ni wazi una ugonjwa wa akiliBrother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushuri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?
Unaona alimsamehe ili aendelee kula mahela ya jamaa wako kimasilahi[emoji23] Jamaa yangu huyu alishawahi fumaniwa na mkewe na bado akasamehewa wakati huo pesa sio tatizo sasa mkataba ulipoisha tu ilikuwa ni balaa.
Wanawake wana kisasi kikali