Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Watagongewa sana shoo zao mbovuna watunza bustani, vijana waleta maziwa....😂
Watagongewa sana shoo zao mbovuna watunza bustani, vijana waleta maziwa....😂
hatakama usipojirahisisha jinsia yako tu inakupa urahisi, mwanamke hajazoeleka kua mtaftaji, akiwa vibaya kiuchumi hatodharauliwa....😂😂😂 sio wote mkuu bhana
Trust me , tatizo hapo sio pombe,tatizo hapo ni jamaa hana kazi,hana kipato cha kueleweka hivyo mke anaona uchumi wa familia uko matatizoni.Utakuta huna kazi halafu kwa siku unakunywa pombe za 10k+. Hapo bado haujampa offer bar maid. Kwa mwezi ni zaidi ya laki 4.
Mimi nipo upande wa mke wako, acha pombe.
Huyu mbona kama namjua😂 Kuna brother nilienda kufanya kazi yake DSM eneo ( ) aisee nmeenda mara 2 ni yupo tungi na mkewe nilimuona kabisa Hana furaha , amejitenga na walivyo huwezi jua kama ni mke na mume dada Yuko smart ila bro Sasa mwanzo nilijua labda jamaa anaagizwa agizwa tu mahitaji madogo madogoBrother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushuri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?
Sasa hana hela then analewaaTrust me , tatizo hapo sio pombe,tatizo hapo ni jamaa hana kazi,hana kipato cha kueleweka hivyo mke anaona uchumi wa familia uko matatizoni.
Trust me , tatizo hapo sio pombe,tatizo hapo ni jamaa hana kazi,hana kipato cha kueleweka hivyo mke anaona uchumi wa familia uko matatizoni.
Ndio,lakini kelele zimezidi baada ya jamaa kukosa kaziIla si amesema hata kabla uchumi haujayumba mke alikuwa anapigia kelele hilo jambo?
Una hakika Mkuu,Kwani Umaskini Ni nini kibongobongo,simply kushindwa Kuafford Basic Needs.Kama huna hela kuwa mpole mkuu hakuna mwanamke anaye vumilia umaskini na ukitaka awe mpole zaidi mwache azae
Ndio,lakini kelele zimezidi baada ya jamaa kukosa kazi
Toka anamwoa anadai ilikuwa hazizid siku tatu hajaambiwa swala la pombe Yeye tu ndo hakumwelewa mke wake nadha hapo n kumtafuta mnywaj mwenzake ama mke wake aamue kumwacha na pombe zake ila hakutakuwa na mapenzi maana mke miaka yote mitatu bado anachukizwa na pombe na ukijumlisha hana kipato cha uhakika alafu analewa yan 🤣🤣🤣🤣 mtoto wa kike anavumilia tuu hana namna.Ila si amesema hata kabla uchumi haujayumba mke alikuwa anapigia kelele hilo jambo?
Ni kweli,yuko concernedNa vile hana kazi ana stress. Na pombe anazokunywa mtu mwenye stress si mchezo. Anakunywa hadi azime ziii! Wife kaona hapa asipozidisha kelele watalala njaa
......tatizo watu wanapenda sana kusimulia na kusikia mabaya, jf kuna ndoa nzuri sana ila hawasemi, kila mtu anasubiri mwenza wake azingue aje amuanike hapa.....nadhani ni wakati sasa wadau wasimulie namna wanavyokula asali na maziwa kwenye ndoa zao .......Hivi ni kwamba kila mtu humu jf anaishi kwenye ndoa ya misukosuko 😂 kila siku vituko vipya😂
Hapana.Hivi ni kwamba kila mtu humu jf anaishi kwenye ndoa ya misukosuko [emoji23] kila siku vituko vipya[emoji23]
Hata hapa umeandika ukiwa umelewa pia..Brother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushuri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?
Utamuelewa tu dada angu ngoja kwanza pombe zimuishe kichwani aandike tena..Sijaelewa