Kwa hili nimeamua kutelekeza mchumba

Kwa hili nimeamua kutelekeza mchumba

Kwa ninavyowajua waganda, ni bora hata imekuwa hivyo...ungeumia sana
 
Jembe Afrika vipi mkuuu ? Unasepa kwani umeua ? Wao wamekupa proforma invoice yao ... nenda ukawa face uwaambie budget niliyopanga kwa shughuli hio ni kiasi fulani, sio kama sina uwezo huo mnaoutaka bali nina mahitaji mengine, kama vile savings za watoto,etc,etc kwa hiyo siko tayari kuspend gharama yote mtakayo kwa mahari na mambo yasiyo na tija kwa maisha yangu na mke wangu, tuna majukum mazito yametukabili ahead, unless hamtaki binti wenu akaishi maisha mazuri..Wape darasa mkuu J/A tena live sio mambo ya kupitia sijui kwa nani wala nani, then unawapa time limit ya wakupe majibu ndani ya wiki 2, ili ukatafute mwingine anayekufaa...lakini kusepa kimyakimya unaonyesha udhaifu wa hali juu dude..!
 
MKUU KOSA ULIFANYA MWENYEWE KWA SABABU HUKWENDA NA MSHENGA (DALALI).kUNA WASHENGA NI NOMA YANI HATA UKIAMBIWA MALI NI TSH 56,000,000/= Jamaa anajenga hoja hadi inapunguzwa na kufikia TSH 50,000/= TU.Unachukua mzigo wako babake unasepa kiulaiiiiini.Kama bado demu unampenda we nitonye tu nikuunganishe.
 
ukweni hawakutaki

halafu kumbe mahari inapangwa mbele ya bwana na bi harusi?

nilidhani washenga ndo hufanya hivyo
mambo yanabadilika kwa kasi sana
 
Jembe Afrika vipi mkuuu ? Unasepa kwani umeua ? Wao wamekupa proforma invoice yao ... nenda ukawa face uwaambie budget niliyopanga kwa shughuli hio ni kiasi fulani, sio kama sina uwezo huo mnaoutaka bali nina mahitaji mengine, kama vile savings za watoto,etc,etc kwa hiyo siko tayari kuspend gharama yote mtakayo kwa mahari na mambo yasiyo na tija kwa maisha yangu na mke wangu, tuna majukum mazito yametukabili ahead, unless hamtaki binti wenu akaishi maisha mazuri..Wape darasa mkuu J/A tena live sio mambo ya kupitia sijui kwa nani wala nani, then unawapa time limit ya wakupe majibu ndani ya wiki 2, ili ukatafute mwingine anayekufaa...lakini kusepa kimyakimya unaonyesha udhaifu wa hali juu dude..!
mkuuu bajeti yangu ni sh 2milion tu
 
MKUU KOSA ULIFANYA MWENYEWE KWA SABABU HUKWENDA NA MSHENGA (DALALI).kUNA WASHENGA NI NOMA YANI HATA UKIAMBIWA MALI NI TSH 56,000,000/= Jamaa anajenga hoja hadi inapunguzwa na kufikia TSH 50,000/= TU.Unachukua mzigo wako babake unasepa kiulaiiiiini.Kama bado demu unampenda we nitonye tu nikuunganishe.
hebu fanya mambo mkuuu
 
Back
Top Bottom