Kwa hili nawasifu Wazungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili nawasifu Wazungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ehud, Mar 21, 2011.

 1. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi kifupi wameweza kutekeleza wanachokiamini kumpiga Gadafi. Ni sehemu gani duniani ambako katika kipindi kifupi jamii au mataifa yoyote yenye malengo sawa yanaweza kutekeleza malengo yao kwa ufanisi namna hii?

  Ni lini Waafrica watakuwa na msimamo na kusimamia yale wanayoyaamini hata ikibidi kupigana ili kuyatetea?

  Ni lini Waarabu watakuwa na msimamo na kusimamia yale wanayoyaamini hata ikibidi kupigana ili kuyatetea?

  Kama muda huo wakusimamia tunayoaamini hautafika. Daima tutakuwa tupigwa kama swala wanavyowindwa na simba kule serengeti.
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Miafrika inaangalia karibu a.k.a kujishibisha harakaharaka ndo maana haiendelei,wakati wenzao wanafikiria miaka hamsini ijayo itakuwaje na wanasimamia kwelikweli hata kwa mtutu.
   
Loading...