Kwa hili nawapongeza Polisi

Wanawafundisha watoto matumizi mabovu ya Barabara.

Walipaswa wawaelekeze mahali penye kivuko cha waenda Kwa miguu.

Kesho mtoto akivukia hapo alipofundishiwa atakuwa anahatarisha usalama wake.
 
Back
Top Bottom