Kwa hili nawapongeza Polisi

Kwa hili nawapongeza Polisi

Kirokonya

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
2,280
Reaction score
7,563
Nimezikuta mahali. Nimependezwa nazo. Hakika wamefanya kitu kizuri kabisa kuwafunza watoto wetu matumizi sahihi ya barabara.
IMG_20211112_201002.jpg
IMG_20211112_200944.jpg
 
Imependeza ingawa wamechelewa sana
Hili wanalijua sana na ni wajibu wao na ni moja ya kazi zao
 
Acheni kutoa pongezi pale mtu anapotimiza majukumu yake ya kawaida kabisa...

Hovyoo
Sawa ni jukumu lao basi wametimiza vyema lazma wapongezwe kwa kazi nzuri,,, Hongereni sana askari wetu
 
Polisi wanaeneza korona waziwazi tena kwa makusudi kabisa.
hapo watashika watoto wangapi?
hii haikubaliki.

alisikika mwana..... Mmoja
 
Kijiji gani iko karibia shule nzima watoto wanavaa yebo yebo chakavu,
 
Back
Top Bottom