Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Kuna uwezekano mkubwa katibu mkuu mpya wa UN haijui vizuri jiografia ya East Africa na influence ya nchi mbali mbali za ukanda huu.
Vile kakurupukia takwimu za IMF na kuona kuwa Kenya ina uchumi mkubwa kanda hii, huyo akakurupuka kwenda kwa Kenyata.
Nadhani watakuwa wamezungumzia kuhusu amani ya ukanda huu wa Afrika mashariki na kati, na Kenyatta itakuwa kamwambia hii ngoma ni nzito kwa Kenya, ukitaka ifanikiwe kawaone Tanzania ndio wana influence kubwa kwa nchi za ukanda huu kuanzia Msumbiji, Congo, Rwanda, Burundi, Uganda to mention the few.
Si ndo huyo katibu kachanganyikiwa anapanda ndege usiku usiku aje amuone Magufuli, naye kakuta Magu 'keshahamia Dodoma'.
Siku nyingine hawa wazungu waache kukurupuka kurupuka.
Hapa Magu atakuwa amekataa kuwa mtu wa kuitwa itwa, na kutumwa tumwa kama Manji alivyomkatalia Makonda.