Hata mimi nlivyoona heading tu nikajua ni yeyeUna uhakika wewe sio deogratius kisandu ?
Uthibitisho ni kuwa wamempigia kura KagameThibitisha kwamba hao ninwanyarwanda.
mkuu tuheshimiane mi si wakufananishwa na huyo kisandu ni nipo timamuUna uhakika wewe sio deogratius kisandu ?
picha zao mkuu.Wanaume wamkoani bwana mna mambo ya ajabu sana na hii yote ni sababu ya kukosa exposer,yani hao ndo umeona ni mademu wakaali,hivi umetembea kweli,hao wa sampuli uloweka hapo pichani mtaani kwetu tu wako zaidi ya 20,na wapo wazuri zaidi ya hao na hyo ni mtaa mmoja tu.kwa taarifa yako afrika mademu wazuri wako TZ,sio rwanda
Itakuwa wanahisi wewe ni mwanamke mwenzaoeti wananiuliza hivi ni mrefu kama hiyo avatar yako. mi huwa cjawajibu maswali yao ya kipuuzi
Hahahah sawa.mkuu tuheshimiane mi si wakufananishwa na huyo kisandu ni nipo timamu
Naposema wamkoani namaanisha wabush,sikuweki kundi moja na chalii ya ara,inaelekea huna krismas nyingi hapo tegeta,nakushauri ujichanganye maeneo ya starehe,mikusanyiko na katikati ya mji ufanya research vizuri,pita na huku uswahilini ndo utakuja gundua kuwa Tanzania mungu alitupa upendeleo.nenda nchi za watu huko uliza vizuri kuhusu mabinti wa kibongo,waulize wanaijeria watakuelezea.picha zao mkuu.
Harafu huku tegeta nako mkoani mkuu