Kwa hili Manara unatupeleka pabaya

Wee acha kabisa: Jerry Muro ni bora kuliko Manara, hajawahi kuwafokea waandishi wa habari, yeye na timu yake ya wananchi a.k.a timu ya kimataifa v timu ya mchangani.
Habar za siku nyingi mkuu Makoye Matale!!
Tangu yanga imetangazwa kuwa bingwa wa ligi kuu 2014/2015 umeonekana kuadimika sana, nadhani ni hii cinema ya Ramadhan Singano na timu mchangani ndo limekufanya urudi tena hapa.

Eti mtu na akili zake zote anakuja kumfananisha poyoyo HAIJI KUNG'ARA na jembe la kimataifa Jerry Muro!! hivi huyo Manara sijui katoka wapi!, na sijui simba walitumia vigezo gani kumpa huyu jamaa nafasi ya usemaji wa timu kubwa kama simba halafu anaropoka ropoka hovyo!!

Aisee hawa wazee wa kugushi mikataba ni noma sana.
 
Mkuu nipo sana. Simba sasa ni Mchangani FC a.k.a Wazee wa Kughushi.
 
Back
Top Bottom