Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,Haji manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho kimeidhalilisha tiny yetu ya simba na kinaweza kupelekea timu ikasusiwa habari zake kuandikwa.hukutakiwa kuwafokea waandishi hata kama hukufurahishwa na maswali yao,badilika kijana