Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

Mmachinga akawe mkulima?huko nchi zilizoendelea wamachinga wapo pia
Nchi zilizoendelea ni zipi hizo ambazo zina wamachinga? Au basi tu tunajisikia raha to compare the incomparable? Uende USA Uholanzi, Norway au UK ukutane na machinga anatembeza gurus hi ladies radio au furushi la nguo barabarani anauza? Uongo mwingine tuwe tunauogopa kama ukoma.
 
Jamani jamani!

Siaseme wazi,anataka kujua kila mmachinga aliyeko nchini,ili aanze kuwatoza kodi rasmi,,,??

Kuwatoza wamachinga kodi ni kuwaonea,wengi wanatafuta kupata mlo kama sio leo basi kesho,...unamtoza vipi mtu wa hivi? this is sad ... hata kama ni makusanyo sio namna hii, afu unaskia kuna katrilion kamepotea..mwe!?!
Hizo hela zitaenda kwenye bima ya elimu. Ova
 
Nadhani hili ni jambo jema pia kama yalivyo maamuzi mengine ndani ya serikali ya awamu ya tano. Mkuu nimewahi kukaa Bangkok hawa wamachinga wamerasimishwa na wamewekewa mazingira bora ya kufanyia shughuli zao. Kila mama ntilie, machinga, fundi saa, waendesha bodaboda almaarufu "tuktuk" wanalipa kodi kiduchu kiduchu na wanavimashine vyao vya EFD. Yaani hata huitaki risiti ukipewa baada ya kununua chungwa moja machinga yuko radhi akukimbilie uichukue risiti. Na wanauzalendo hasa sababu kubwa ni kwamba wamerasimishwa na kuwekewa mazingira bora ya kazi zao. Taxi drivers wameweka meters ukishuka tu unapewa risiti hata ukionesha hutaki kuichukua atakubembeleza. Makundi maalum ya walemavu wamewekewa maeneo maalum na au muda maalum wakufanya biashara zenye bidhaa tofauti mbele ya maduka yanayouza bidhaa tofauti na zao. Mfano wanauza nguo mbele ya maduka ya spea za magari na wanavaa ID zao kama za Uncle MAGUFULI. Halmashauri zitumie fursa hii ya urasimishaji kuwapa vipaumbele ktk kuwatengenezea mazingira bora ya kufanyia shughuli zao
Mkuu hii ni wishful thinking.
Bangkok si Dar, Mwanza au Arusha.
Na baada ya maoni yako unamalizia na kuwaomba Halmashauri ati "kutengeneza mazingira bora" passing on the buck!

Machinga wana thrive katika mazingira ya ukwepaji kodi.
Kiwkwete aliwajengea Machinga Complex, zaidi ya miaka kumi sasa machinga wamelisusa.
Sababu kubwa ni kukaa barabarani ,kukwepa kodi na kuuza rahisi.
Tusilisahau hilo.
 
Rais nchi yoyote ndiye msimamizi wa Ilani, sera, sheria, utekelezaji na utendaji wa serikali.

Toka mapema mimi silifagilii sana suala la machinga kwa vile kimsingi ni kuahirisha tu tatizo kubwa la sera ya ushirikishwaji na ajira za vijana wasio katika ajira rasmi.

Leo tumeshuhudia machinga kupewa vitambulisho ambavyo kimsingi havieleweki kuwa ni vya nini haswa.

Kwa wamachinga its a licence to kill, and with impunity.

Katika Tanzania na kwingineko, wafanya biashara lazima wawe na formal distribution lines.
Na hizo distribution lines ndio unaweza kupata ukusanyaji wa kodi.
Dr Mpango amelizungumzia hili tatizo Bungeni juu ya upotevu wa kodi kwa kuwapa kipau mbele machinga.
A person of no fixed abode hawezi kuwa msingi mzuri wa kodi kwani nitajiuliza, atapataje TIN, EFD na hata kukadiriwa na ku enforce kodi zake za mapato!

Tusijejidanganya, kundi hili la machinga do not add value kwenye product wanayouza.
Wanachofanya machinga ni subsistance bussinessing at the expense of tax evasion.
Kwa vile hawalipi kodi they can afford kuuza bidhaa kwa bei ya chini.

Tukirudi kwenye somo la DS pale Mlimani, nililoliona siku nyingi, machinga lazima waboreshewe mazingira ili warudi kwenye basic means of production, KILIMO.

Kuwasajili machinga kwa vitambulisho sana sana tunakoleza umasikini na kuahirisha ufumbuzi wa tatizo.

Of course kuna political capital katika kuwaenzi machinga lakini hilo si tatizo la kuisha leo au kesho, lazima liwe na sera, mipango endelevu na ya muda mrefu.

Mbaya zaidi, Mh Rais anapo decree a solution to a percieved problem, hakuna wa kupinga.

Ni mawazo tu, naweza kuwa wrong, lakini TRA, wana kazi.

Swali langu ni moja tu kuhusu suala hili, Raisi ameonya wamachinga wasitumike kama wasambazaji wa bithaa za wafanyabiashara wakubwa. Ukweli ni kuwa wengi wa wamachinga hawana mtaji na shughuli yao kubwa ni usambazaji
 
Maduka mengi ya KKOO hayatatoa risiti na hivyo vitambulisho vutatumika kama kinga....

TRA hawatakuwa na nguvu kumkamata mtu mwenye mzigo afu akawaambia nimenunua kwa machinga

Na hii itakuwa mwanya mpya kwa wadau wenye maduka makubwa/ wafanyabiashara wengine kuwatumia hawa machinga(endapo hawatafanya mishe za kupata ivyo vitambulisho)..... amini hivyo
 
The,ameanza Kampeni ya 2020 anajua hilo kundi wengi hawajielewi wao kusifia tu so kwakufanya hivyo wenyewe wanahisi wanapendwa na Gov na watahamasika kuikba sifa zake vinginevyo yale ni matumizi mabaya ya pesa za umma
Rais nchi yoyote ndiye msimamizi wa Ilani, sera, sheria, utekelezaji na utendaji wa serikali.

Toka mapema mimi silifagilii sana suala la machinga kwa vile kimsingi ni kuahirisha tu tatizo kubwa la sera ya ushirikishwaji na ajira za vijana wasio katika ajira rasmi.

Leo tumeshuhudia machinga kupewa vitambulisho ambavyo kimsingi havieleweki kuwa ni vya nini haswa.

Kwa wamachinga its a licence to kill, and with impunity.

Katika Tanzania na kwingineko, wafanya biashara lazima wawe na formal distribution lines.
Na hizo distribution lines ndio unaweza kupata ukusanyaji wa kodi.
Dr Mpango amelizungumzia hili tatizo Bungeni juu ya upotevu wa kodi kwa kuwapa kipau mbele machinga.
A person of no fixed abode hawezi kuwa msingi mzuri wa kodi kwani nitajiuliza, atapataje TIN, EFD na hata kukadiriwa na ku enforce kodi zake za mapato!

Tusijejidanganya, kundi hili la machinga do not add value kwenye product wanayouza.
Wanachofanya machinga ni subsistance bussinessing at the expense of tax evasion.
Kwa vile hawalipi kodi they can afford kuuza bidhaa kwa bei ya chini.

Tukirudi kwenye somo la DS pale Mlimani, nililoliona siku nyingi, machinga lazima waboreshewe mazingira ili warudi kwenye basic means of production, KILIMO.

Kuwasajili machinga kwa vitambulisho sana sana tunakoleza umasikini na kuahirisha ufumbuzi wa tatizo.

Of course kuna political capital katika kuwaenzi machinga lakini hilo si tatizo la kuisha leo au kesho, lazima liwe na sera, mipango endelevu na ya muda mrefu.

Mbaya zaidi, Mh Rais anapo decree a solution to a percieved problem, hakuna wa kupinga.

Ni mawazo tu, naweza kuwa wrong, lakini TRA, wana kazi.
 
Anajua hilo kundi wengi wao hawajielewi so pakuwakamatia ni huo upuuzi wa vitambulisho Nchi moja mwananchi unamiliki vitambulisho vingiii vingine havina maana yoyote
Hivi hii movu ya magu hamjaisoma kama anajianda for 2020....

Wacha nikae kimya kwanza.

Ila nejiuliza sana ule upendo wake leo imetoka wapi.. How!??
 
Rais nchi yoyote ndiye msimamizi wa Ilani, sera, sheria, utekelezaji na utendaji wa serikali.

Toka mapema mimi silifagilii sana suala la machinga kwa vile kimsingi ni kuahirisha tu tatizo kubwa la sera ya ushirikishwaji na ajira za vijana wasio katika ajira rasmi.

Leo tumeshuhudia machinga kupewa vitambulisho ambavyo kimsingi havieleweki kuwa ni vya nini haswa.

Kwa wamachinga its a licence to kill, and with impunity.

Katika Tanzania na kwingineko, wafanya biashara lazima wawe na formal distribution lines.
Na hizo distribution lines ndio unaweza kupata ukusanyaji wa kodi.
Dr Mpango amelizungumzia hili tatizo Bungeni juu ya upotevu wa kodi kwa kuwapa kipau mbele machinga.
A person of no fixed abode hawezi kuwa msingi mzuri wa kodi kwani nitajiuliza, atapataje TIN, EFD na hata kukadiriwa na ku enforce kodi zake za mapato!

Tusijejidanganya, kundi hili la machinga do not add value kwenye product wanayouza.
Wanachofanya machinga ni subsistance bussinessing at the expense of tax evasion.
Kwa vile hawalipi kodi they can afford kuuza bidhaa kwa bei ya chini.

Tukirudi kwenye somo la DS pale Mlimani, nililoliona siku nyingi, machinga lazima waboreshewe mazingira ili warudi kwenye basic means of production, KILIMO.

Kuwasajili machinga kwa vitambulisho sana sana tunakoleza umasikini na kuahirisha ufumbuzi wa tatizo.

Of course kuna political capital katika kuwaenzi machinga lakini hilo si tatizo la kuisha leo au kesho, lazima liwe na sera, mipango endelevu na ya muda mrefu.

Mbaya zaidi, Mh Rais anapo decree a solution to a percieved problem, hakuna wa kupinga.

Ni mawazo tu, naweza kuwa wrong, lakini TRA, wana kazi.
Huo ni mwanzo tuu ameonyesha njia , wataalamu wasaidie kuboresha tuu jambo hilo
 
Maduka mengi ya KKOO hayatatoa risiti na hivyo vitambulisho vutatumika kama kinga....

TRA hawatakuwa na nguvu kumkamata mtu mwenye mzigo afu akawaambia nimenunua kwa machinga
Jamaa anaua Nchi kwa maslahi yake yakubaki Ikulu wajinga wanamtukuza
 
Umachinga si fursa, ni matokeo ya mapungufu makubwa ya matumizi ya nguvukazi katika jamii.

Nimetoa argument kuwa nguvukazi hii ingetumika katika kilimo na mazao yake basi tungeongeza thamani ya uzalishaji katika hicho kilimo.

Kuuza pipi, ma toy, mitumba sana sana machinga wanakuwa outlets wa bidhaa za wakubwa.
Na katika kufanya hivyo mfanyabiashara hakusanyi kodi na mmachinga halipi kodi.
Sasa kwa akili yako fursa iko wapi hapo kwa Taifa.
Hii nchi haijawahi kushindwa kuzalisha ktk kilimo, kuna vyakula vingi vinazalishwa ila kwa sababu ya kukosa soko na elimu ya usindikaji vinaozea sokoni au mashambani. CCM imechoka hakuna inachokiweza ikae pembeni.
 
Rais nchi yoyote ndiye msimamizi wa Ilani, sera, sheria, utekelezaji na utendaji wa serikali.

Toka mapema mimi silifagilii sana suala la machinga kwa vile kimsingi ni kuahirisha tu tatizo kubwa la sera ya ushirikishwaji na ajira za vijana wasio katika ajira rasmi.

Leo tumeshuhudia machinga kupewa vitambulisho ambavyo kimsingi havieleweki kuwa ni vya nini haswa.

Kwa wamachinga its a licence to kill, and with impunity.

Katika Tanzania na kwingineko, wafanya biashara lazima wawe na formal distribution lines.
Na hizo distribution lines ndio unaweza kupata ukusanyaji wa kodi.
Dr Mpango amelizungumzia hili tatizo Bungeni juu ya upotevu wa kodi kwa kuwapa kipau mbele machinga.
A person of no fixed abode hawezi kuwa msingi mzuri wa kodi kwani nitajiuliza, atapataje TIN, EFD na hata kukadiriwa na ku enforce kodi zake za mapato!

Tusijejidanganya, kundi hili la machinga do not add value kwenye product wanayouza.
Wanachofanya machinga ni subsistance bussinessing at the expense of tax evasion.
Kwa vile hawalipi kodi they can afford kuuza bidhaa kwa bei ya chini.

Tukirudi kwenye somo la DS pale Mlimani, nililoliona siku nyingi, machinga lazima waboreshewe mazingira ili warudi kwenye basic means of production, KILIMO.

Kuwasajili machinga kwa vitambulisho sana sana tunakoleza umasikini na kuahirisha ufumbuzi wa tatizo.

Of course kuna political capital katika kuwaenzi machinga lakini hilo si tatizo la kuisha leo au kesho, lazima liwe na sera, mipango endelevu na ya muda mrefu.

Mbaya zaidi, Mh Rais anapo decree a solution to a percieved problem, hakuna wa kupinga.

Ni mawazo tu, naweza kuwa wrong, lakini TRA, wana kazi.

Bado siamini nilichosikia na kukiona!!! Eti Rais katoa vitambulisho!!! Anajua kitakachotokea kwenye mfumo wa makusanyo ya kodi? Ghosh, tunaye Rais!!!!!!????!!!!!
 
Kwanza umekosoa na haujatoa ushauri nini kifanyike, hiyo degree yako ya DS haina maana.

Machinga haendi dubai wala beijing kufata mzigo ananunua kariakoo na kumpelekea final consumer huo mzigo ushalipiwa kodi bandarini na kariakoo unataka na machinga alipe vat import duty etc huo ni ujinga wa kisomi.

Mtu mwenye mauzo ya 4m kwa mwaka faida yake kwa mwezi sidhani hata laki inafika unataka anunue efd ya milioni moja siwendawazimu huo.

Uliposoma na shemeji yako akakusaidia kupata kazi kumbuka mkopo uliokusomesha ambao yata haujamaliza kuulipa unatokana na kodi ya machinga mnyonge siku ingine muwe na adabu
Hivi unajua wanaolazimishwa kuwa na EFD
mtaji wao ni kiasi gani....ukiwa na mawazo huru utaelewa zoezi lile sio lakusaidia machinga ila lakusaidia aliwasaidia
 
Rais Magufuli* : Nia aibu kwa Taifa lenye watu milioni 55 kuwa na walipa kodi milioni 2.2 pekee. Kenya ina watu milioni 46 na walipa kodi milioni 3.9

Rais Dk. John Pombe Magufuli, akiwa katika Kikao Maalum kati yake na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ameeleza kuwa, Tanzania haifanyi vizuri katika suala la ukusanyaji wa mapato kulinganisha na Nchi nyingine za kiafrika.

Alieleza kwa kufafanua takwimu za kodi kwa kulinganisha Tanzania dhidi ya majirani zake:

🙈Tanzania (milioni 55): walipa kodi milioni 2.2; kodi inayotozwa ni 12% ya GDP.

🙈Kenya (milioni 46): walipa kodi milioni 3.9; kodi inayotozwa ni 18% ya GDP.

🙈Uganda (milioni 37): walipa kodi milioni 1.2; kodi inayotozwa ni 14% ya GDP.

🙈South Africa (milioni 56): walipa kodi milioni 19.9; kodi ni 26% ya GDP.

🙈Mozambique (milioni 5.3): walipa kodi milioni 5.3; kodi ni 18% ya GDP.
Zambia (milioni 16): walipa kodi milioni ?; kodi ni 15% ya GDP.

🙈Botswana (milioni 2): walipa kodi milioni 0.7; kodi 14% ya GDP.

🙈Burundi (milioni 10): walipa kodi milioni 0.2; kodi 13% ya GDP.

🙈Namibia (milioni 2): walipa kodi milioni 0.6; kodi 12% ya GDP.

Hapa Rais Magufuli amepigilia msumari kwenye ukweli.

Watanzania wamekuwa wakilalamika kuwa, kodi ni nyingi na kwamba Sera za sasa siyo rafiki kwa mazingira ya kibiashara na uwekezaji nchini. Sasa ukweli umewekwa wazi kuwa, Tanzania ndiyo Nchi yenye wastani mdogo sana wa walipa kodi katika Nchi zote za Afrika Mashariki.

Vilevile, mapato yatokanayo na kodi nchini Tanzania, ni asilimia ndogo sana kulinganisha na Nchi majirani. Tanzania imepigwa na Kenya, Uganda, Zambia, Msumbiji, Rwanda, Burundi, SA, Botswana na Namibia katika asilimia ya Mapato yatokanayo na kodi (kiwango cha kodi kulinganisha na uwiano wa pato la Taifa).

Sasa wewe fikiria, kama Serikali ya sasa imejitahidi kuziba mianya ya kodi na kuongeza walipa kodi lakini bado Tanzania iko nyuma kulinganisha na majirani zake, je kipindi cha kabla ya Magufuli, hali nchini ilikuwaje?

Tatizo liko kwa Watanzania wenyewe. Sera za ovyo za kuwarahisishia maisha watu wavivu ndizo zilizotufikisha hapa. Tuliifanya Tanzania masikini kuwa Nchi inayotegemea consumer goods na kujisahaulisha misingi ya kiuchumi.

Leo bado tuko nyuma kwenye kodi but tunalialia, sasa hali ikifika ya kuifanya kodi kuchangia asilimia 15% itakuwaje.

Tuaje uvivu, majirani walikuwa wanatuchora sana kipindi cha nyuma namna tulivyokuwa tunapotea. Sasa hivi tunaifanya Tanzania kuwa Nchi ya kuzalisha bidhaa zetu na siyo kupokea kila kitu kutoka nje.

Rais Magufuli amewakumbusha Watanzania kuwa: Hapa duniani, mambo ya uhakika ni mawili pekee: *kifo na kukusanya kodi.*

Hawa Chadema na Zitto walikuwa kutwa wanashauri haya mambo yafanyike* . Sasa Rais Magufuli amefanya kweli. Badala ya kuunga mkono jitihada hizi walizoshauri wameanza kulalamika.

Posho za mabepari uchwara hazijawahi kumuacha mtu salama.

Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA -

Tarehe 10/12/2018
 
Mpaka kitu kikatolewe maamuzi na Rais maanake kajiridhisha na kupata ushauri wa wataalam wa mambo ya KODI with relevant studies kutoka nchi zilizofanya best practices za formalization ya SMEs. Mathalan wachimbaji wadogo nchini wanahitajika kirasimishwa sio kwa sababu ya kutambulika kama walipakodi wadogo bali pia kujua idadi yao ili kuweza kuwapangia mipango ya maendeleo. Binafsi nalikaribisha zoezi hili kwa mikono miwili na nina uhakika wahusika watalipenda na litakuwa na manufaa zaidi kwao tofauti na tunavyodhani
Sio kwa nchi hii. Nchi yetu inaangalia ukusanyaji wa kodi na sio uboreshaji wa mazingira ya kukusanya kodi.
Sijui kama utakua umeelewa
 
Back
Top Bottom