Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG amekiri kuwa taratibu zilikiukwa katika uuzaji wa shirika la UDA. Na ameenda mbali zaidi na kusema kuwa amana za serikali ni nyingi ukilinganisha na kiasi kilichopaswa kuuzwa.
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi Serikali iliwahi kusema hakuna taratibu zilizokiukwa katika hili jambo.
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi Serikali iliwahi kusema hakuna taratibu zilizokiukwa katika hili jambo.