BANDUGUz, sio siri; KWA HILI LA IPP, NIMEVUMILIAAA NA SASA NIMESHINDWA.......NAPASUA JIPU! Nahisi kitu chenyewe ni kama hakina msingi, lakini kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu! Hivi kirefu cha IPP ni nini?!
wewe una akili?
tembelea website yao.
acha thread za kihuni
ULIMBUKENI wa mitandao ya kijamii unakusumbua, pole sana dogo!
Ingiza Pole Poleitoe pole pole