Kwa hili la ipp, nimevumiliaaa na sasa nimeshindwa.......napasua jipu!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,137
BANDUGUz, sio siri; KWA HILI LA IPP, NIMEVUMILIAAA NA SASA NIMESHINDWA.......NAPASUA JIPU! Nahisi kitu chenyewe ni kama hakina msingi, lakini kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu! Hivi kirefu cha IPP ni nini?!
 
wewe una akili?
 
nilivofundishwa shuleni ni (Industrial Products Promotion Media) IPP Media
 
nadhani itakuwa busara sana pale mtu anapotaka kujua akiuliza kama unajua please mwambie, tunaelimishana na kupashana habari, jf ni darasa tosha, shule sio lazima uende darasanai!''i created to be rich in all aspects''
 
kwa ufahamu wangu kirefu cha IPP ni 'INDEPENDENT PRODUCT PROMOTION'. Ni muunganiko wa makapuni mbalimbali kama Bonite,Guardian,Ipp Media,n.k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom