Kwa hili la HESLB wabunge mtutetee

Kwa hili la HESLB wabunge mtutetee

mwenye shibe hamjui mwenye njaa. hivi Tanzania tuna bunge? ule ni mkusanyiko wa wapumbav.u waliochaguliwa na wananchi masikini, wajinga na washirikina ili tu kujaza hizo nafasi. wengi wao hawana upeo wowote, ni mbumbumbu wa kutupwa wanao tumikia chama na serikali yao tukufu inayo ongozwa na mtu asiye na upeo wowote wala utu. ukweli ni kwamba baadhi ya binadamu duniani tulizakiwa kwenye nchi masikini sana, inasikitisha kujua kwamba watoto wetu na watoto wao wataishi kwenye dhiki ile ile. ni kama laana tu. manina!!!


nilitaka nisikomenti chochote kwa uchungu nilionao ila mkuu umenigusa sana,yaani wakipitisha huo muswada wao kinachobakia ktk mshahara wangu.....,lazima niwe tapeli mjini mkuu
 
Back
Top Bottom