Kwa hili la foleni ndani ya bank mpk nje Mi naenda kinyume jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la foleni ndani ya bank mpk nje Mi naenda kinyume jamani!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by LiverpoolFC, Feb 14, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Leo nimeenda Benki kumlipia mdogo wangu ada ya mwaka wa kwnz ktk Benki ya NMB niliingia mle ndani majira ya saa tatu dakika 35 hivi nikatoka saa 6 na robo mchana,yani imeniboa kweli kweli.

  MTAZAMO WANGU:

  Kwanini hizi shule za kata zisiwe na M-pesa,Tigo Pesa na hata Airtel Money?

  Mbaya zaidi wanataka hz ada ziwekwe kwenye hii benki ya wafanyabiashara na inafolen asubuhi mpaka jioni.

  Mimi nafsi yangu foleni hizi kwa malipo ya ada inanitouch sana!

  Nawasilisha hili Wajamen!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  POLE sana Livepool FC.

  Kwa jinsi mabadiliko ya teknolojia kwa sasa hivi yalivyo na Kasi hakuna kitu kinachoweza kuyazuia.
  Kusimama kwenye foleni kwa sasa ni mambo ya ujima, na ni risk kubwa maana mnaweza kuvamiwa na majambawazi na kuporwa.

  Vyuo na mashule hawana jinsi ya kukwepa wimbi la teknolojia...Mwanzoni watakuwa wagumu sana, lakini with time watalazimika kukubali tu!
  Makampuni ya fedha yanaweza kutengeneza customer tailored programs za kulipia kwa electronic money(M-Pesa, Tigopesa etc), huku mtumaji akiwa Bar!
  Ni muda muafaka kabisa!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hili halina budi kuangaliwa kwa undani na kufanyiwa kazi kwa nyakati hii ya utandawazi mtupu!

  Kwa muda huu mtindo ndiyo hivyo hapa NBC MERU BRANCH Arusha foleni ni mtindo mmoja kama ilivyokuwa pale NMB ni foleni mtindo mmoja.

  Na naona wanamac time kweli kweli naona imegonga saa tisa alasiri wakatia komeo sasa kuna raia hapo nje kama ni kidogo ni zaidi ya kumi tangu imegonga saa tisa na wamenyimwa kuingia ndani.

  Je? Hii sheria yao ya muda huu ikigonga ni sahihi mtu asiingie tena?
  Mi ningependa marekebisho yawepo kwn watu ktk mzunguko wa mji wanapata wakati mgumu sana na unakuta biashara umefanya muda ule na ile kidogo ulichopata unatamani umwekee mtoto ada ya shule na ndiyo tena haupewe ruhusa ya kuingia.
  Bado naona si mwenendo mzuri huu ndani ya Benki za hapa Nchini!
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  nmb ....ni sawa na mtandao wa tigo
   
Loading...