Kwa hili La BoT, Usalama wa Taifa Ni Makini

Kwani kuna ubaya wa mtu kuwa TISS? Kwanini watu wawe waangalifu na huyo jamaa? Kwanini uigope TISS?
Hii attitude na mm huwa inanichanganya lakini kuna teo sides of story
1.watawala wakihisi mtu ni tiss wanaanza kuwa impartial either kumtafutia zengwe au kuogopa kumsimamia na kupelekea kujisogeza kwake ili mambo yao maovu yasiwekwe wazi.
2. Hao wanaojiita ama pengine ni kweli tiss wanakuwa na jeuri ya ajabu ambapo hupelekea utendaji wa kazi kuwa mgumu kweli kweli; lakini mimi najiuliza does it matter whether ni tiss au siyo? Whats important ni kufanya kazi kwakufuata sheria na taratibu bila kuangali status za watu.

Hizo tabia za kujitungia taratibu za kufanya kazi kwakumwogopa huyu na kumdharau yule ndiyo inetufikisha hapa.... tumeishi nchi za watu sikuwahi kuiona hii attitude kila mtu anawajibika na kuna positions anbazo kauli ya mtu tu inatosha bila hata maandishi kwasababu ya viongozi kuwajibika na kiwa trustworthy.

Niseme ukweli kwenye serikali yetu kuna watu ambao wana bear position kwenye nafasi kubwa lakini vigeugeu kama vinyonga.

Juzi hapa had a meeting na mtu mkubwa tu alipelekewa ombi kimaandishi na ofisa tuliyekuwa naye ili kuzuia mkanganyiko fulani ambao ungesababishwa na delay katika maamuzi fulani; chaajabu huyo jamaa akatumia luga ya ulaghai kumwaminisha huyo ofisa barua hiyo haihitajiki. Naamini yule ofisa aliamini kwakua nafasi ya huo mdanganyi ni kubwa mno kudhani atakudanganya. Akameambia kwakua tumeongea hii inatosha. Siku chache baadaye kati ya yale makubaliano hakina hata moja kilichofanyika; ofisa huyo kwa sasa sijui yupo kwenye hali tete sana na kwa informal communication huyo bossi kashamruka kwamba hakuahidi hicho....

Mimi wa pembeni natazama nikajifanyia ka homework kangu nikajasikia tetesi eti huyo mtu ni wale nyoka...sasa sifa ya hao nyoka ni ulaghai? Jamani jamani bila trust katika position fulani tuta sababisha garama kubwa za kiutendaji pasipo sababu. Kweli ni vyema kuwafanya kazi kea maandishi lakini mwanxo wa nhoma ni lele; kama hakuna integrity na hakuna trust hata pamoja na hayo maandishi watu watafanyiana hiana na tutabaki kila siku tuna resolve conflicts ambayo ni kikwazo cha maendeleo.

Kuna nafasi kwakweli ukipewa lazima trust iwe kigezo number moja na kauli ya nafasi fulani inatakiwa iaminike hata bila maandishi.

Nilimsikia Mh. Waziri mkuu akisema ..serikali haifanyi kazi kwa sms..lakini katika nchi zenye accountability sms katika nafasi ya mtu fulani kwenye number ambayo ni verified niya kiongozi fulani kama kuba trust na integrity inatosha kabisa ku communicate na hapo ndipo social capital inapopunguza transaction costs.

Penalt kwa kiongozi mwenye dhamana inatakiwa ifanane na nafasi yake; unfortunately huku kwetu wasio na dhamana ndiyo wako heavily penalized kuliko wente dhamana. Hii inapelekea watu kitoheshimu ofisi na nafasi walizopewa.

Nivyema tukajenga jamii ambayo itaongozwa na uaminifu na hii itawezekana kama tu nafasi nzito zita ambatanishwa na heavy penalities ikowa kutatokea abuse maana katika nafasi hizo qualification ya kwanza ni trust na gentleness.
 
Siku zote raia mwema ni sehemu ya usalama wa taifa..unadhani usalama wanafanya kazi peke yao bila kushirikiana na raia wema?
Yes wewe umenena usalama wa taifa ni wewe,yule,huyu pamoja na Mimi ndio maana tukiona kina jambo baya linaendelea hatukawii kuhabarishana,
Sisi site ni usalama wa taifa
 
Kwani kuna ubaya wa mtu kuwa TISS? Kwanini watu wawe waangalifu na huyo jamaa? Kwanini uigope TISS?
Hii attitude na mm huwa inanichanganya lakini kuna two sides of story
1.watawala wakihisi mtu ni tiss wanaanza kuwa impartial either kumtafutia zengwe au kuogopa kumsimamia na kupelekea kujisogeza kwake ili mambo yao maovu yasiwekwe wazi.
2. Hao wanaojiita ama pengine ni kweli tiss wanakuwa na jeuri ya ajabu ambapo hupelekea utendaji wa kazi kuwa mgumu kweli kweli; lakini mimi najiuliza does it matter whether ni tiss au siyo? Whats important ni kufanya kazi kwakufuata sheria na taratibu bila kuangali status za watu.

Hizo tabia za kujitungia taratibu za kufanya kazi kwakumwogopa huyu na kumdharau yule ndiyo imetufikisha hapa.... tumeishi nchi za watu sikuwahi kuiona hii attitude kila mtu anawajibika na kuna positions ambazo kauli ya mtu tu inatosha bila hata maandishi kwasababu ya viongozi kuwajibika na kuwa trustworthy.

Niseme ukweli kwenye serikali yetu kuna watu ambao wana bear position kwenye nafasi kubwa lakini vigeugeu kama vinyonga.

Juzi hapa had a meeting na mtu mkubwa tu alipelekewa ombi kimaandishi na ofisa tuliyekuwa naye ili kuzuia mkanganyiko fulani ambao ungesababishwa na delay katika maamuzi fulani; chaajabu huyo jamaa akatumia luga ya ulaghai kumwaminisha huyo ofisa barua hiyo haihitajiki. Naamini yule ofisa aliamini kwakua nafasi ya huo mdanganyi ni kubwa mno kudhani atakudanganya. Akamwambia kwakua tumeongea hii inatosha. Siku chache baadaye kati ya yale makubaliano hakuna hata moja kilichofanyika; ofisa huyo kwa sasa yupo kwenye hali tete sana na kwa informal communication huyo bossi kashamruka kwamba hakuahidi hicho....

Mimi wa pembeni natazama nikajifanyia ka homework kangu nikajasikia tetesi eti huyo mtu ni wale nyoka...sasa sifa ya hao nyoka ni ulaghai? Jamani jamani bila trust katika position fulani tuta sababisha garama kubwa za kiutendaji pasipo sababu. Kweli ni vyema kufanya kazi kwa maandishi lakini mwanzo wa ngoma ni lele; kama hakuna integrity na hakuna trust hata pamoja na hayo maandishi watu watafanyiana hiana na tutabaki kila siku tuna resolve conflicts ambayo ni kikwazo cha maendeleo.

Kuna nafasi kwakweli ukipewa lazima trust iwe kigezo number moja na kauli ya nafasi fulani inatakiwa iaminike hata bila maandishi.

Nilimsikia Mh. Waziri mkuu akisema ..serikali haifanyi kazi kwa sms..lakini katika nchi zenye accountability sms katika nafasi ya mtu fulani kwenye number ambayo ni verified ni ya kiongozi fulani kama kuna trust na integrity inatosha kabisa ku communicate na hapo ndipo social capital inapopunguza transaction costs.

Penalt kwa kiongozi mwenye dhamana inatakiwa ifanane na nafasi yake; unfortunately huku kwetu wasio na dhamana ndiyo wako heavily penalized kuliko wenye dhamana. Hii inapelekea watu kutoheshimu ofisi na nafasi walizopewa.

Nivyema tukajenga jamii ambayo itaongozwa na uaminifu na hii itawezekana kama tu nafasi nzito zita ambatanishwa na heavy penalities ikiwa kutatokea abuse maana katika nafasi hizo qualification ya kwanza ni trust na gentleness.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda naona usalama wa taifa umerudi kwenye mstari wa umakini na kufanya kazi kwa weledi.

Nimemsikiliza vizuri jana dr JPM huku akiwa ameshikilia orodha ya wafanyakazi wa BOT na cv zao..Aliwaeleza hiyo orodha anayo lakini hakupewa na wao,hilo linaashiria moja kwa moja ni usalama wa taifa wamefanya kazi yao vilivyo..

Miaka ya nyuma usalama wa taifa ilionekana kama imepwaya hivi!siri nyingi za ndani ya serikali zilikuwa zikivuja na hata kwenye issue za msingi bado walionekana kama wamepwaya..zama hizi mpya naona kama wako serious sana na unyeti wa mambo ya kitaifa..

Hili la BOT liwe fundisho kwa halmashauri zetu ambapo mimi naamini ndiko kwenye uozo uliotukuka,usalama uko macho!

Its a matter of time tu,wakurugenzi na waweka hazina wa halmashauri mjiandae kwani usalama unafanya kazi yake ipasavyo!

Kila la kheri usalama wa taifa na hongereni kwa kazi nzuri!
usalama wa taifa upo makini miaka yote utekelezaji ulikuwa hakuna
 
Kama mlikua hamjui,magufuli ametokea kuwa kipenzi cha idara zote za ulinzi yani Tiss na Jeshi,yule mtangulizi wake alikua anaungwa mkono na jeshi pekee na ndo maana siri za ikulu zilikua zinavuja kirahic.
 
Unajilisha upepo,kiumbe wewe. Huyu mleta post ni Mbumbu tu wa Lumumba,TISS wa ngazi juu unawajua wewe?

Wewe ni mweledi sana, unajua ile mbaya, na unawafahamu Tiss wa ngazi za juu vibaya mno, una akili nyingi sana hata unaweza kuwafahamu mbumbumbu wa Lumumba na kuwatofautisha na TISS, big up kiongozi
 
Naamini tuko salama kutokana na umakini wa Idara ya Usalama wa taifa.
 
Kama mlikua hamjui,magufuli ametokea kuwa kipenzi cha idara zote za ulinzi yani Tiss na Jeshi,yule mtangulizi wake alikua anaungwa mkono na jeshi pekee na ndo maana siri za ikulu zilikua zinavuja kirahic.
Alaaa kumbeee. Kwa hiyo Kikwete alikuwa na ubaguzi wa vyombo vya dola?
 
Mkuu ndugu dominus vobiscum huwa siamini kwenye vyama na mpaka sasa sina chama!panua ubongo kabla ya kupanua vidole kwenye keyboard yako,hii post haina chembe ya uccm au ukawa..lumumba imekujaje hapo au unamaanisha nini?mambo ya uchaguzi wengine tumeshayasahau,kwa sasa ni utaifa!
Ndugu yangu usipoteze muda kumuelewesha mtu anayefahamu hana ajenda, mtu ambaye kwa sasa ananunua dizeli kwa buku mia tano toka buku mbili. Mtu ambaye kacheti chake kanampa kichwa anajua sana na sasa hataki kukubali kuwa alikosea kwa vile yeye ana amini anajua tu. Hajui hata uchaguzi unaishia wapi, kwake yeye siasa ni ugomvi na uhasama na akishindwa anatamani amuuue adui yake, uchanga wake wakutofahamu unamfanya ajione anajua, muache, msifie anajua ili akose cha kusema, ukiendelea kumuelewesha ataendelea kukubishia pengine apandishe adrenaline yako akuharibie afya bureee
 
Hii attitude na mm huwa inanichanganya lakini kuna teo sides of story
1.watawala wakihisi mtu ni tiss wanaanza kuwa impartial either kumtafutia zengwe au kuogopa kumsimamia na kupelekea kujisogeza kwake ili mambo yao maovu yasiwekwe wazi.
2. Hao wanaojiita ama pengine ni kweli tiss wanakuwa na jeuri ya ajabu ambapo hupelekea utendaji wa kazi kuwa mgumu kweli kweli; lakini mimi najiuliza does it matter whether ni tiss au siyo? Whats important ni kufanya kazi kwakufuata sheria na taratibu bila kuangali status za watu.

Hizo tabia za kujitungia taratibu za kufanya kazi kwakumwogopa huyu na kumdharau yule ndiyo inetufikisha hapa.... tumeishi nchi za watu sikuwahi kuiona hii attitude kila mtu anawajibika na kuna positions anbazo kauli ya mtu tu inatosha bila hata maandishi kwasababu ya viongozi kuwajibika na kiwa trustworthy.

Niseme ukweli kwenye serikali yetu kuna watu ambao wana bear position kwenye nafasi kubwa lakini vigeugeu kama vinyonga.

Juzi hapa had a meeting na mtu mkubwa tu alipelekewa ombi kimaandishi na ofisa tuliyekuwa naye ili kuzuia mkanganyiko fulani ambao ungesababishwa na delay katika maamuzi fulani; chaajabu huyo jamaa akatumia luga ya ulaghai kumwaminisha huyo ofisa barua hiyo haihitajiki. Naamini yule ofisa aliamini kwakua nafasi ya huo mdanganyi ni kubwa mno kudhani atakudanganya. Akameambia kwakua tumeongea hii inatosha. Siku chache baadaye kati ya yale makubaliano hakina hata moja kilichofanyika; ofisa huyo kwa sasa sijui yupo kwenye hali tete sana na kwa informal communication huyo bossi kashamruka kwamba hakuahidi hicho....

Mimi wa pembeni natazama nikajifanyia ka homework kangu nikajasikia tetesi eti huyo mtu ni wale nyoka...sasa sifa ya hao nyoka ni ulaghai? Jamani jamani bila trust katika position fulani tuta sababisha garama kubwa za kiutendaji pasipo sababu. Kweli ni vyema kuwafanya kazi kea maandishi lakini mwanxo wa nhoma ni lele; kama hakuna integrity na hakuna trust hata pamoja na hayo maandishi watu watafanyiana hiana na tutabaki kila siku tuna resolve conflicts ambayo ni kikwazo cha maendeleo.

Kuna nafasi kwakweli ukipewa lazima trust iwe kigezo number moja na kauli ya nafasi fulani inatakiwa iaminike hata bila maandishi.

Nilimsikia Mh. Waziri mkuu akisema ..serikali haifanyi kazi kwa sms..lakini katika nchi zenye accountability sms katika nafasi ya mtu fulani kwenye number ambayo ni verified niya kiongozi fulani kama kuba trust na integrity inatosha kabisa ku communicate na hapo ndipo social capital inapopunguza transaction costs.

Penalt kwa kiongozi mwenye dhamana inatakiwa ifanane na nafasi yake; unfortunately huku kwetu wasio na dhamana ndiyo wako heavily penalized kuliko wente dhamana. Hii inapelekea watu kitoheshimu ofisi na nafasi walizopewa.

Nivyema tukajenga jamii ambayo itaongozwa na uaminifu na hii itawezekana kama tu nafasi nzito zita ambatanishwa na heavy penalities ikowa kutatokea abuse maana katika nafasi hizo qualification ya kwanza ni trust na gentleness.

Nimesoma kwa makini hoja zako ingawa baadhi ya maneno kuna spelling mistakes, hata hivyo nimekuelewa na nakubaliana nawe kwa sehemu kubwa. Thanks, Ndugu yangu.
 
Kila mtu kipindi hiki atafanya kazi na kulipwa kwa haki hakuna ulegelege tena
 
KwaTAARIFA yako ili uwe na cheokikubwa serikarini kwenye mashirika ya umma taasisi zake lazima uwe kada wa chama hata kama haujionyshi na hao wote wanasujudu pale rumumba hivyo kulindana kama kawa
 
Nimesoma kwa makini hoja zako ingawa baadhi ya maneno kuna spelling mistakes, hata hivyo nimekuelewa na nakubaliana nawe kwa sehemu kubwa. Thanks, Ndugu yangu.

Asante mkuu nimefanya editting....
 
Kudos Jpm tutakujuza mini ukituruhusu
JPM kila siku anawaomba wananchi tumuombee na kumpa ushirikiano katika mapambano haya ya rushwa na ufisadi; ni bora "akachepuka" pia kwa kujaribu kutafuta habari na taarifa kutoka kwenye vyanzo visivyo rasmi kama blogs, magazeti pendwa, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu kisha azichambue na kufanyia kazi anazoona zina mashiko na sio majungu; mapambano yake yatafanikiwa maradufu
 
Back
Top Bottom