Kwa hili La BoT, Usalama wa Taifa Ni Makini

Kwa hili La BoT, Usalama wa Taifa Ni Makini

Jamani kweni BOT iko chini ya wizara gani? Na wakaguzi wa hesabu za serekali wako.hakuna Siri yeyote pale BOT.
Muhimu ndugu zetu wa usalama heshima Yao imerudi. Maana ilikuwa kero.
kweli mkuu JMP karudisha heshima yao maana tuliwasoea kuwaona kwenye mabaa na ngono wakisema wao usalama hope now upuuzi huo utaisha.
 
Jakaya alifanya usalama wa taifa kuwa chombo cha majungu....
Umeongea kama vile ume copy na ku paste maneno ya zamani kidogo niliyoambiwa na ndugu yangu wa TISS ambaye ametumikia toka enzi za Nyerere
 
Ni watu wa usalama ndio watakuwa wamempa hii taarifa. wakati wa awamu ya 4 usalama ulikuwa umedorora kama ilivyokuwa serikali yenyewe kwani walikuwa hawasikilizwi wanaposhauri.
Weeeee!! Ishia hapo hapo, hii taasisi haijawahi kulala, waliokuwa wanalala ni watawala wetu wa kutoa maamuzi stahiki!!
 
Kuna haja kuangalia na CV za hao usalama. Tuondoe div 0 na waliobebwa na wajomba zao kama wapo. We need intelligent people to help our president to foresee our economy, security, and establish beneficial international relations.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda naona usalama wa taifa umerudi kwenye mstari wa umakini na kufanya kazi kwa weledi.

Nimemsikiliza vizuri jana dr JPM huku akiwa ameshikilia orodha ya wafanyakazi wa BOT na cv zao..Aliwaeleza hiyo orodha anayo lakini hakupewa na wao,hilo linaashiria moja kwa moja ni usalama wa taifa wamefanya kazi yao vilivyo..

Miaka ya nyuma usalama wa taifa ilionekana kama imepwaya hivi!siri nyingi za ndani ya serikali zilikuwa zikivuja na hata kwenye issue za msingi bado walionekana kama wamepwaya..zama hizi mpya naona kama wako serious sana na unyeti wa mambo ya kitaifa..

Hili la BOT liwe fundisho kwa halmashauri zetu ambapo mimi naamini ndiko kwenye uozo uliotukuka,usalama uko macho!

Its a matter of time tu,wakurugenzi na waweka hazina wa halmashauri mjiandae kwani usalama unafanya kazi yake ipasavyo!

Kila la kheri usalama wa taifa na hongereni kwa kazi nzuri!
Kwa taarifa yako hao usalama wa taifa ndio 98%ya hao so-called wafanyakazi hewa ambao wanalipwa kupitia BOT hata magu anajua vizuri kuh suala hilo ndio maana ameongea kwenye tone tofauti na hiyo blabla ya kutumbua majipu.ebu jiulize inakuwaje kwenye employees 1,3na ushee kuwe na watu hewa 700!yaani zaidi wale wa ukweli??Use your head don't let ur head use u
 
Back
Top Bottom