zinginary JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 2,491 Reaction score 1,714 Dec 14, 2016 #61 Elli said: ok mkuu nimekuelewa. asante Click to expand... Okay pamoja kiongozi
mwamajinja mapunga JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,074 Reaction score 613 Dec 14, 2016 #62 rodrigoz said: Una uhakika? Any proof? Click to expand... Unataka nn sasa unafikiri kuna wengine kama sio TISS wanaonyakua watu
rodrigoz said: Una uhakika? Any proof? Click to expand... Unataka nn sasa unafikiri kuna wengine kama sio TISS wanaonyakua watu
K Kilemakyaaro JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 5,050 Reaction score 5,118 Dec 14, 2016 #63 bopwe said: Kama polisi hawajui, na tiss hawanar, basi ccm wanajua Click to expand... Hivi unafikiri kuna wenye akili kama Tiss wanakaa kushughulika na mpuuzi anaejipaka makamasiiii
bopwe said: Kama polisi hawajui, na tiss hawanar, basi ccm wanajua Click to expand... Hivi unafikiri kuna wenye akili kama Tiss wanakaa kushughulika na mpuuzi anaejipaka makamasiiii
e nkwasi JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 381 Reaction score 283 Dec 15, 2016 #64 Ngelechi said: Acheni upumbavu wenu kama Taifa tuna mambo mengi sana yakufikiria sio kuwaza siasa zenu za majitaka zakujiteka ili mpate kiki Nyumbu mnasumbua sana Click to expand... Bado hujitambui, nina mashaka na kiwango chako cha ELIMU. Fikra zako zimekufa!
Ngelechi said: Acheni upumbavu wenu kama Taifa tuna mambo mengi sana yakufikiria sio kuwaza siasa zenu za majitaka zakujiteka ili mpate kiki Nyumbu mnasumbua sana Click to expand... Bado hujitambui, nina mashaka na kiwango chako cha ELIMU. Fikra zako zimekufa!