Kwa hili la Ben, CCM wasikose utu

Acheni upumbavu wenu kama Taifa tuna mambo mengi sana yakufikiria sio kuwaza siasa zenu za majitaka zakujiteka ili mpate kiki Nyumbu mnasumbua sana
Sawa lakini yatakukuta ujue siku moja pia
 
Ben saanane anafanya kazi serikalini? Ni katibu wa magufuli? Au analala na polisi nyumbani kwake?

Mtuhumiwa wa kwanza katika swala la upoteaji wa ben saanane kama ni kweli hajajiteka ni Freeman Mbowe. Yeye ndio anayewajibika kwa kila kitu kwa kwa ben kwasababu ni mfanyakazi wake.

Jinsi mwenyekiti alivyohandle issue ya ben na jinsi chama kilivyochukulia hii issue ya ben inaonekana moja kwa moja kuwa Mbowe na Chadema wanahusika katika upoteaji wake.

Mbowe anatakiwa atueleze ni wapi alipompeleka ben saanane na atuambie kwanini hii issue ya ben kupotea imeshika kasi baada ya yeye kuondoka ?

Kelele zinazopigwa na Kina Malissa na umoja wao huo ni kujaribu kuipotosha jamii na kuficha maovu yaliyofanywa na chadema dhidi ya Ben Saanane.

Haingii akilini hata siku moja eti apotee Mwanachama yoyote yule maarufu wa CCM kwa mfano wassira then akalalamikiwe Chadema kuwa wamemteka.

Swala la ben ni la nyumba ya chadema na kumsingizia jirani tena asiyekuwa na mahusiano yoyote ya karibu na huyo ben ni kujaribu kuficha maovu au majanga mliyomfanyia.

Kwa issue inacyoenda inaonyesha hundrend percent chadema na viongozi wake ndio waliomdhuru ben na wao ndio wanajua wapi alipo.
 
mm wananishughulisha zaidi wale maiti saba,walikufaje wote kwa pamoja na kufungwa mawe.
Halafu wnaawaita wahamiaji haramu...kwaio wahamiaji haramu wakikimbilia nchi hii ndio sheria kuwa muwafanye vile??
Haya mara tena kuna uzi humu mtu anasema eti ..eti...imekua planned na chama chake...what nonsense...does it penetrate to the skull that for whatever stupid reasons you kill 7 innocent people all in the name of planned thing or create tension in the country
 
Acheni upumbavu wenu kama Taifa tuna mambo mengi sana yakufikiria sio kuwaza siasa zenu za majitaka zakujiteka ili mpate kiki Nyumbu mnasumbua sana
Unazo habari kuwa amejificha mwenyewe kweli?
Uzima wa mtu ni muhimu kuliko chochote
 
Ndio Watanzania hawa
Simshangai huyu anayejiota ELLI. Tangu niijue JF sijawahi kuona comment yake humu yenye mwelekeo wa ubinadamu. Nachelea kuamini huenda akawa sio mtu (maana niliwahi sikia kuna majini pia humu). Yeyote mwenye nyama na damu ipo siku tu ataonesha sympathy hasa kwa tulio kama hili. Kama mwenzetu ana mkataba na Mungu wa kuishi duniani eternally basi ana haki ya ku-behave upendavyo.
 
Samahani Elli. Ninemkusudia huyu anayejiita MLALAHOI, anayesema Ben amejiteka mwenyewe. Niwie radhi kwa kutokuwa makini kusoma jina la mtuma post.
 
[HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG]
Hamna cha usalama wa taifa wala nini, wapuuzi tu hao cdm wanafikiri kila siku wanawaza siasa tu. Huyo Ben ana la maana lipi hadi usalama wa taifa uingilie?? Who's Ben to this country?? Ni mtu mdogooo sana, sio kila kitu ni siasa wandugu.
 
Samahani Elli. Ninemkusudia huyu anayejiita MLALAHOI, anayesema Ben amejiteka mwenyewe. Niwie radhi kwa kutokuwa makini kusoma jina la mtuma post.
Amen, nilielewa kuwa umekosea. Pengine wenzetu huwa hawapatwi na matatizo bhana, wataishi milele
 
Hamna cha usalama wa taifa wala nini, wapuuzi tu hao cdm wanafikiri kila siku wanawaza siasa tu. Huyo Ben ana la maana lipi hadi usalama wa taifa uingilie?? Who's Ben to this country?? Ni mtu mdogooo sana, sio kila kitu ni siasa wandugu.
Pamoja na udogo wake kwa taifa lakini bado haiondoshi ubinadamu wake, ni mtu ni mlipa kodi ana haki ya kuishi na kulindwa kama nilivyo mimi au wewe au ndugu zako
 
Reactions: Mu7
Exc
Excellent!
Umenena vema. Asante sana!
 
Hamna cha usalama wa taifa wala nini, wapuuzi tu hao cdm wanafikiri kila siku wanawaza siasa tu. Huyo Ben ana la maana lipi hadi usalama wa taifa uingilie?? Who's Ben to this country?? Ni mtu mdogooo sana, sio kila kitu ni siasa wandugu.
Kwa hiyo watu wadogo ndo huwa wanapotea ovyo? Unajitoa ufahamu kuandika mambo ya ajabu wakati huyu Ben ni binadamu kama.wewe na ana haki ya kuvuta pumzi kama wewe!

Nakuombea kabla Mungu hajakutoa duniani, mmoja kati ya wale unaowathamini na kuwapenda apotee kama Ben ili uonje maumivu.
 
Roho ngumu na roho mbaya haifundishwi ndani ya CCM , bali ni mtu huzaliwa nayo toka tumboni kwa mamaye na wakati mngine ni malezi alopitia udogoni. CCM imetokana na TANU, na moja kati ya zile ahadi kumi za Mwana TANU NI KUA BINADAMU WT NDUGU ZNG NA AFRIKA NI MOJA. Mungu Tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…