Kwa hili, Kigwangalla ujizulu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Kufuatia kigwangala kuwapiga stop waganga wa tiba asilia kujitangaza kwenye vyombo vya habari na kuwawekea mikiriti kibao,leo waziri wake ametoa kauri ya kuwakaribisha wataalam hao wa tiba mbadala kufanya mashauriano bila kutumia utemi,kigwangala umechemka wajibika
 
hivi upo aware kuwa hakuna sheria inayowaruhusu watu wa afya formal au informal asector kutangaza biashara au huduma zao kwenye vyombo vya habari? zaidi ya mabango kwenye sehemu husika? do research.
 
natharia ya polisi mbaya polisi mzuri, mwisho wa siku mtuhumiwa ndio anaumizwa.
 
no need. matapeli wamezidi sana mjini na vijijini. siku hizi utansikia mganga anakwambia mizimu inataka kitimoto rost, bia creti, raba mpya andy1, jeans mpya na t-shirts pamoja na iPhone 6.
ukimpelekea vyote hivyo anakwambia mizimu imeona tatizo lako na itakuponyesha ukienda hospitali.
Mkuu kigwangala ajiuzuru tu
 
hivi upo aware kuwa hakuna sheria inayowaruhusu watu wa afya formal au informal asector kutangaza biashara au huduma zao kwenye vyombo vya habari? zaidi ya mabango kwenye sehemu husika? do research.
Ajiuzuru tu
 
Unapotosha.. amesema wasome taratibu zinasemaje? Taratibu zinakataza kujitangaza.. kama wanaona wanaonewa wamwone..
 
Mkuu hebu angalia Startv sasa hivi huyu mtu fadhaget is he talking about tiba asili au something Else? anasema anazungumza science ya tiba asili! With laptop in front of him! come-on this is pure white lie! na anajiita sijui Doctor nani sijui!!! Please let us be realistic.
Ni hatari kuacha watu wadangaye wagonjwa kwa kiwango hicho. Mhe Waziri Ummy amesema kama kuna Tabibu wa Tiba asili hakubaliani na tangazo la serikali aende ofisini kwake wakazungumzie vifungu vya sheria vinaelekezaje. Katazo lipo palepale tungoje aliondowe then Naibu Waziri ajitadhmini.
 
Last edited:
no need. matapeli wamezidi sana mjini na vijijini. siku hizi utansikia mganga anakwambia mizimu inataka kitimoto rost, bia creti, raba mpya andy1, jeans mpya na t-shirts pamoja na iPhone 6.
ukimpelekea vyote hivyo anakwambia mizimu imeona tatizo lako na itakuponyesha ukienda hospitali.

Jf kuna vituko sana..hahahaha
 
Kufuatia kigwangala kuwapiga stop waganga wa tiba asilia kujitangaza kwenye vyombo vya habari na kuwawekea mikiriti kibao,leo waziri wake ametoa kauri ya kuwakaribisha wataalam hao wa tiba mbadala kufanya mashauriano bila kutumia utemi,kigwangala umechemka wajibika

wewe ndio umechemka maana kumsimamisha mganga na baadae kuitwa kwa mashauriano inamaana imekubalika kusimamishwa kwake na ndio maana ameitwa
 
Kama sheria inakataza matapeli wa tiba asili kujitangaza waache mara moja, na atakayekiuka sheria ichukue mkondo wake iwe mfano kwa wengine, wanadanganya sana, hawana tofauti na wanaojipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, na gharama zao balaaa ni kubwa ajab
 
no need. matapeli wamezidi sana mjini na vijijini. siku hizi utansikia mganga anakwambia mizimu inataka kitimoto rost, bia creti, raba mpya andy1, jeans mpya na t-shirts pamoja na iPhone 6.
ukimpelekea vyote hivyo anakwambia mizimu imeona tatizo lako na itakuponyesha ukienda hospitali.
Wewe jamaa bangi tupu, hahaha.
 
no need. matapeli wamezidi sana mjini na vijijini. siku hizi utansikia mganga anakwambia mizimu inataka kitimoto rost, bia creti, raba mpya andy1, jeans mpya na t-shirts pamoja na iPhone 6.
ukimpelekea vyote hivyo anakwambia mizimu imeona tatizo lako na itakuponyesha ukienda hospitali.

Hivi wale wanaopokea watu kusaidia kuroga nao ni hao wa kundi hilo pia?
 
Unapotosha.. amesema wasome taratibu zinasemaje? Taratibu zinakataza kujitangaza.. kama wanaona wanaonewa wamwone..
Wamwone nani?kiranja wake kesha sema atakutana nao sijui aibu hiyo ataificha wapi huyo kigwa
 
[QUOTE="mgosanulitaka: 14976478, memFadhaget0asitumie hebu angalia Startv sasa hivi huyu mtu fadhaget is he talking about tiba asili au something Else? anasema anazungumza science ya tiba asili! With laptop in front of him come-on this pure white lie! na anajiita sijui Doctor nani sijui!!! Please let us be realistic.
Ni hatari kuacha watu wadangaye wagonjwa kwa kiwango hicho. Mhe Waziri Ummy amesema kama kuna Tabibu wa Tiba asili hakubaliani na tangazo la serikali aende ofisini kwake wakazungumzie vifungu vya sheria vinaelekezaje. Katazo lipo palepale tungoje aliondowe then Naibu Waziri ajitadhmini.[/QUOTE]
Kwa hiyo wewe ulitaka huyo jamaa wa Fadhaget asitumie Laptop?
Yaani fikra zako kuhusu Tiba Asili ni nini hasa?

Kwa hiyo wewe ulitaka huyo jamaa wa Fadhaget asitumie Laptop?
 
Kama sheria inakataza matapeli wa tiba asili kujitangaza waache mara moja, na atakayekiuka sheria ichukue mkondo wake iwe mfano kwa wengine, wanadanganya sana, hawana tofauti na wanaojipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, na gharama zao balaaa ni kubwa ajab
Nani anakulazimisha kwenda?
 
wewe ndio umechemka maana kumsimamisha mganga na baadae kuitwa kwa mashauriano inamaana imekubalika kusimamishwa kwake na ndio maana ameitwa
Hiyo avatar yako tuinakuhukumu pamoja na id yako
 
Back
Top Bottom