kanganyoro
Senior Member
- Jun 22, 2011
- 127
- 33
umetumwa nini?
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
Narrow thinkingNasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
Sawa lakini si kihivyo kabisa
go go go Lema its time for change now!
Neno Mapinduzi lina mambo mengi mkuu siyo lazima kupindua nchi.
there you go again josephine,politics is just like a war,ni bora lema ambae ni muwazi na anatangazia umma kwa uwazi(kama kweli anafanya hivyo)kuliko hao wanaotumia mbinu za kujasusi wakisaidiwa na dola,sauti ya lema ni sauti ya mtu aliaye nyikani
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
Ya Magamba nayajua na yanakera ila mbona tunaweza kuyamaliza tuuu. Kwani nani alijua leo CDM wangepata viti zaidi ya 40
Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano
Aisee sikuhizi JF inavamiwa na mbumbumbu kweli,Lema si Mbunge, anaitisha mkutano kama nani?
Nayaelewa kama yalivyo lakini haya sasa ni ya kigaidi