Kwa hili Godbless Lema unakosea

wewe JOSEPHINE03 usituchanganye,Mkapa aliposema Arumeru mashariki kuwa tume tangaza ccm tumeshinda chadema waende mahakamani mbona hiyo kauli hukusema ni ugaidi?!!!Hebu tuondolee uvivu wa kufikiri
 
Nikweli mkutano si mbaya bali jinsi unavyohamasisha watu yaani unawajengea chuki zaidi ya kuwapa picha iliyopo

kwani bi josephoni unaelewa nini juu ya neno mapinduzi? je unajua kuna chama kinaitwa "Chama cha Mapindizi"? kwa uelewa wako hicho chama ni cha kigaidi? kinapindua nini?
 
hiki ni kipindi ambacho chadema wawe macho na maamuzi yoyote.otherwise magamba wa take advantage!
 
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu

Nadhani wewe uli quote vibaya ungesikiliza vyema mwanzo mwisho usikurupuke kukosoa tuuuuuuu


 
Back
Top Bottom