Kwa hili Godbless Lema unakosea

Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano

Kafanye kazi wewe sisi tutaenda kwenye mikutano, kakae oficin na magamba wenzako acha sisi tukomboe nchi yetu kwanza then tutafanya kazi tukiwa huru.
 
we gamba mbona chama chako kinaitwa mapinduzi? Acha fikra mgando! Unahitaji kukombolewa!
 
huyu atakuwa anaishi kwa nguvu ya ccm so kusikia mapunduzi anatetemeka...usiogope kulaga vya mwishomwisho.
 
Ww nan kakwambia lema anatafuta umaarufu unadhan yy n diamond? nenda katafute maana ya 'mapinduz' ndo uje co unabwabwaja 2 kilaza mwenye magamba ww
 
Huyu jamaa ni miongoni mwa wasomi ambao wanashindwa kutumia taaluma zao kusaidia maendeleo ya nchi, hata jaji aliyetoa hukumu ya Lema ameshindwa kutumia taaluma yake kusaidia maendeleo ya nchi na badala yake ametumia udhaifu wake kuendeleza umasikini
 
MAPINDUZI ni badiliko la haraka linalowanufaisha wengi. (kulingana na kamusi ya kiswahili) Sasa ndg yangu wasiwasi wanini? kwani yakitokea wengi watafaidika au wewe upo ktk kundi la wachache? Kesho uje NMC tufanye hayo mapinduzi if posible.
 
Mie nashangaa kwa nini kama mtu huataki kitu flani ulazimishe na wenzio wasikipende wewe kama hupendi mageuzi au mapinduzi kwanini usijifungie chumbani kwako na mke wako kweli Magamba hata uyaelezee vipi hayatakuelewa pia nashangaa hawa kina mama ntilie na vijezee hivyo viuza ugoro ati wana raha sasa baada ya kamanda kuenguliwa nasema dhambi yenu itawarudia hapa hapa duniani na mtajuta kwa nini mlikubali kutumiwa na Magamba Lowasa.cha aibu mnaish uswazi mbu zenu,maji machafu yenu na haukuna hata gamba ambalo litakuwa watembeleeni hata siku moja hapo zawadi yenu ni vilemba na vijifulana vya kichina mtakoma na hata sifahamu mtaishije huko uswazi ngoja mkaa anga zangu muone
 
Ni kweli mapinduzi yanahitajika,anayeogopa ni wazi kua bado hajajitambua...There is no way mabadiliko ni lazima:disapointed:
 
Nimkakati na style ya siasa. Ukiona huwezi kuleta mabadiliko kwa maendeleo ya watu kwa hoja lakini bado unahitaji kuonekana njia pekee ya kuonekana ni crisses. Kuna watu ambao katika hali tulivu wanapungukiwa sifa za kuongoza na hivyo njia pekee ya kuhakikisha uongozi ni kuhakikisha hali ya mambo haitulii ili kuwaondoa watu kwenye mjadala wa kupima hoja za maendeleo na badala yake kujadili crisses
 
unaogopa nini josephine?hakuna jipya bongo,ya ccm hujayajua?

watu wanamuogopa lema kuliko hata njaa. Kwani ikitangazwa kuna mkutano shida iko wapi? Si ni sauti kama sauti zingine? Ukiwa shabiki wa ccm lazima uwe mwehu!
 
Nayaelewa kama yalivyo lakini haya sasa ni ya kigaidi

Dunia ingekuwa na watu watupu kichwani kama wewe,tusingefika hapa tulipo..Tumeachwa na dunia kwa woga wetu then tuendelee kuichelewesha nchi yetu kwa kuogopa mapinduzi,utakuwa ni unafiki...

Kwa kiwango kikubwa mapinduzi yameleta maendeleo makubwa duniani....chunguza
 
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu

unadhani mapinduzi ni lazima watu washike AK 47(s)??
 
msaidieni jamani hajui maana ya neno mapinduzi.inaonyesha ni mmoja kati ya wanaokariri.
 
Back
Top Bottom