Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
- Thread starter
-
- #21
mwacheni, huyu ni lusinde anajua mapinduzi ni kumwaga damu, ameshakunywa damu ya ccm, hivyo ata upeo wa kufikiri ni zero.
fafanua vizuri wasiwasi wako ulipo
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu
Dada ninawasiwasi na uelewa wako katika suala la mapinduzi/harakati.
Au upo mrengo wa wale wanaoathirika na mapinduzi ya kweli
Ukimaliza kuhara sema upewe majiNayaelewa kama yalivyo lakini haya sasa ni ya kigaidi
Nayaelewa kama yalivyo lakini haya sasa ni ya kigaidi
Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano
Anyway naona wengi wameliangalia kwa upande mmoja tu ya kwamba kilakitu lazima uanze kujenga hisia fulani kwa watu nao wakusapoti ninawasiwasi Lema umaarufu wake utashuka kwa kasi kama ulivyopata kwakasi
Nikweli mkutano si mbaya bali jinsi unavyohamasisha watu yaani unawajengea chuki zaidi ya kuwapa picha iliyopo
Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano
Sawa lakini si kihivyo kabisa