Kwa hili Godbless Lema unakosea

mwacheni, huyu ni lusinde anajua mapinduzi ni kumwaga damu, ameshakunywa damu ya ccm, hivyo ata upeo wa kufikiri ni zero.

Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano
 
Magamba mkisikia neno MAPINDUZI mnapata hofu? Msiogope tutayatoa magamba yenu kwa kupiga kura wala hatuna malengo ya kubadili rangi ya bendera yetu ya taifa.

"Mwana-chadema wa jana,leo na kesho"
 
there you go again josephine,politics is just like a war,ni bora lema ambae ni muwazi na anatangazia umma kwa uwazi(kama kweli anafanya hivyo)kuliko hao wanaotumia mbinu za kujasusi wakisaidiwa na dola,sauti ya lema ni sauti ya mtu aliaye nyikani
 
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi. Kwa mimi nahisi kama kuna ukweli wa hili CDM mmefika mbali tuliangalie kwa jicho la tatu

Josephine03,

..mbona chama chenu kinaitwa Chama cha Mapinduzi?
 
Dada ninawasiwasi na uelewa wako katika suala la mapinduzi/harakati.
Au upo mrengo wa wale wanaoathirika na mapinduzi ya kweli

Watu wameshawakubali sasa mnataka wageuze imani yao nanyinyi
 
Mbona CCM inajiita chama cha mapinduzi na hakuna shida. Mapinduzi yapo mengi na mapinduzi makuu ni ya kifikra ambayo viongozi wa CCM hawana kwa sasa.

Josephine03 acha woga.
 
Tupo pamoja katika mkutano huo. ila tusiwe na jazba dhidi ya dhalimu CCM, ukweli tutashinda kwani Mungu yu Upande wetu

Tuache uoga na tusimame imara. Tupende kutafuta haki na kweli itatuweka huru

Peoples Pamoja
 
Anyway naona wengi wameliangalia kwa upande mmoja tu ya kwamba kilakitu lazima uanze kujenga hisia fulani kwa watu nao wakusapoti ninawasiwasi Lema umaarufu wake utashuka kwa kasi kama ulivyopata kwakasi
 
Mungu saidia huu upambanaji usimpe mtu risasi ya kichwa,mgongo wala kifua. Allhah, Jar, Mungu, Mwenyenzi unaona usahihi wa cdm!
 
Nayaelewa kama yalivyo lakini haya sasa ni ya kigaidi

Umewaona na silaha au umefulia tu?
Kwako neno "mapinduzi" ndio lime kutisha?
Pole sana,jaza mfuko wako hela achana na siasa zitakupa presha bureeeee.

526801_10150652584043479_724998478_9330059_1148682221_n.jpg
 
Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano

Wewe furaha yako ni kufanya kazi hata kama uko utumwani?! Labda nikuulize,hivi kwa mawazo yako unaamini tumefika hapa tulipo kimaendeleo, katika miaka 50 ya uhuru, kwa sababu ya mikutano mingi iliyotufanya tushindwe kufanya kazi au??!
 
wewe ni bonge la gamba..halafu hilo jina umechomeka ili tuchanganye na Josephine original tuliyemzoea hapa...umeongeza +03..
lakini wengi tumekuelewa
 
Just for your information, Lema ni sterling wa Vita ya Ukombozi wa kifikra.
Walikuwepo wanaharakati duniani, kama akina Steve Biko, Ken Saro Wiwa, William Dubois, Martin Luther na wengineo, japo walishatangulia mbele ya haki lakini umaarufu wao haukushuka.
Vita aliyoianza Lema itaendelea mpaka kieleweke.
Josehine03 acha kuwalamba wanaume miguu utakuja kulia kilio kibaya dada!
Anyway naona wengi wameliangalia kwa upande mmoja tu ya kwamba kilakitu lazima uanze kujenga hisia fulani kwa watu nao wakusapoti ninawasiwasi Lema umaarufu wake utashuka kwa kasi kama ulivyopata kwakasi
 
Nikweli mkutano si mbaya bali jinsi unavyohamasisha watu yaani unawajengea chuki zaidi ya kuwapa picha iliyopo

Arusha tumechafukwa roho na hakuna anayetuamasisha chuki coz tayari tunaichukia CCM na kitambo sana tumeshaibwaga ila safari hii tunawaadabisha na dunia inajua kuwa mnabaka HAKI.
Hayo matangazo yanavyotolewa ndo style yetu hapa Arusha ya kila siku coz sisi hatubembelezi kupewa HAKI yetu bali tunaifata HAKI yetu popote ilopofichwa.
Si mlitaka chai sasa mbona mnalalamika mnaungua???

"CCM mnaruka sarakasi na taulo"- by dmayola(jf member)
 
Iko wapi hiyo kazi unayoisema?
Hivi kweli unaridhika kesho asubuhi unakuta kilo ya sukari ni sh. 20 elfu which is against your income? Lazima tukapambane mpaka haki itakapopatikana, vinginevyo ccm watatupeleka wanavyotaka.
Ifike mahali CDM waelewe jamani watu wanatakiwa wafanyekazi na wala sio bize na mikutano
 
We mjinga kweli cc hatupo kwa ajili ya vitu tu tunahitaji haki hata kama tusingekuwa na kiti hata kimoja kama haki ingekuwa inatendeka tusijali hili la watu kunyimwa haki ndilo linalotukera zaidi kuliko majimbo! kwa hiyo ondoa dhana ya kuridhika na majimbo na kuacha haki, ingekuwa majimbo ni kitu cha dhamani kwa watu wa chadema mpendazoe asingeachia kiti kwani tayari alikuwa nacho! lakini aliamua kutoka bila kujali atapoteza mangapi ili tu asiwe upande wa majambazi. upo hapo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom