Kwa hili dada zetu mnatudanganya.. au mmetuzidi maujanja!

Lol! Mie nicheke pia kwa bold!
Seriously speaking, with my very evil mind nilishawahi kujaribu ku-speculate mtu/watu ambao mama yangu mzazi angaliweza kuwa na affair nao wakati dingi yuko kwenye safari zake za muda mrefu. Niliishia bila clue! Ila dingi kumuhisi ni rahisi sana (kama vile nishaona na kijana aliefanana na mie kidogo,mweh!)
Women ar smarter than men, ndo maana Bible inasema 'wanaume kaeni na wake zenu kwa akili' if we were not that smart msingehitaji akili ya kukaa na sie, sio?
king there is another way to look at that red thing there, It could be because women are so dumb that men would need to be extra careful to live with them (msinipige mawe ni mtazamo mwingine tu wa kuiangalia kauli ya King). Btw you are not dumb King.
 
Mimi nitoe mfano huu Mwanaume =NYUKI na Mwanamke = MAUA. Nyuki hufikiri kwa uwezo wa kuruka(mobile) huweza kutua kwny maua(girls) wengi zaidi huku akisahau ili kuamua pa kutua ni mvuto wa Maua(Wanawake) ndio unaovutia. mwisho wa siku utakuta ua(girls) moja ndilo lililotembelewa na Nyuki wengi zaidi
 
Back
Top Bottom