Kwa hili clouds fm wanastahili pongezi

Binafsi naamini wanarekebishika kama tukiwashauri kwamba mna uzuri huu na ubaya huu, tukumbuke kwamba kuwa clouds fm ni jina na pengine mtindo wa utangazaji unaotumika sasa.

Wanaweza kubadilika hawa.
 
Nimekuwa nikifuatilia habari kupitia redio baada ya umeme kutokuwepo muda mrefu na hivyo kushindwa kufuatilia matukio kupitia TV, redio clouds wamejitahidi sana kwani kuanzia kipindi chao kile cha asubuhi wamefanya coverage nzuri sana kuhusu yaliyojiri kufuatia mafurik.
Sikuona uzuri wa media za serikali kuhusu hili, kulikoni?

Na huu ndio uungwana sio mtu anaponda tu kila kitu kama robot
 
Wanaaandaa mazingira mazuri ya kuaandaa Tamasha la kuchangia wahanga ili wapige hela. Mv Spice walipiga hela, mbagala walipiga hela, gongo la mboto vile vile! Hawa Jamaa wajanja sana!
 
Nimekuwa nikifuatilia habari kupitia redio baada ya umeme kutokuwepo muda mrefu na hivyo kushindwa kufuatilia matukio kupitia TV, redio clouds wamejitahidi sana kwani kuanzia kipindi chao kile cha asubuhi wamefanya coverage nzuri sana kuhusu yaliyojiri kufuatia mafuriko.
Sikuona uzuri wa media za serikali kuhusu hili, kulikoni?

chizi ni chizi tu hata ukimkogesha na kumvalisha vizuriii mpe dk 2 tu uone.

Mleta mada inaonesha umekutana na chizi wkt kakogeshwa.
 
Back
Top Bottom