Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!

Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!



Mbona iyo ni intro tu, tunaomba na huku kwetu mikoani watupe izo namba tumuonyeshe kazi huyu bibi
No ya spika ni 0754465226/0784645226
No ya Ndugai ni 0762605951/0765605951
fanya kazi mkuu, wape na wengine watume sms wezavyo
 
Ni wazi Anna Makinda ametuonea Watanzania, lakini kamwe hatuwezi kumkataa kwa kumtukana. Ni sharti tujue kuwa siasa za matusi hazitakiwi. Tumng'oe kwa hoja na nguvu ya umma, si umma kumtukana
Mijadala halali inapopelekwa sehemu halali ili ijadiliwe na watu halali afu mtu mmoja akajifanya zuzu na kuamua kuizuia!. Makinda alichofanya bungeni ni zaidi ya kuwatukana wa tz! Atambue kuwa analipwa ili asimamie mijadala, anapozuia mijadala hatofautiani na mwalimu aliyekwepa kuingia darasan kufundisha. Makinda sikwepe majukumu yake! Eti analalama kutukanwa wakati alistahili kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa ktk mkondo wa nungwi.
 
Mkuu nilikuwepo Temeke mwisho uwanjani, kamanda Godbless Lema alitoa elimu na akasema mnamwamkia shikamoo mama kabla ya kumwambia
 
yeye kwa maoni yako unaona anastahili kuheshimiwa,Ila anavyopindisha sheria na kanuni za bunge ili kutetea mafisadi?
Umesahau kuwa yeye ni mtumishi wetu nasi ndiyo wenye maamuzi ya mwisho,kamwaga mboga acha wenye nchi wamwage ugali kama mbwai mbwai.Mwisho wa siku tutashinda.
Mungu ibariki Tanzania
walaani viongozi wake
 
Mbona iyo ni intro tu, tunaomba na huku kwetu mikoani watupe izo namba tumuonyeshe kazi huyu bibi

Tena namba zake nazihitaji kweli, nitampopoa na MITUSI hadi ajihisi kuwa mimba yake ilibebwa kwenye tumbo la mwanaume, pumba..vu zaka!!
 
Mkuu nilikuwepo Temeke mwisho uwanjani, kamanda Godbless Lema alitoa elimu na akasema mnamwamkia shikamoo mama kabla ya kumwambia

Kumbe elimu ya kutosha ilitolewa, katika zama hizi, matusi kwa viongozi wa serikali, hasa hii ya JK, legitimacy ya viongozi imeshuka sana. Watu hawana mzuka kabisa na viongozi wa Serikali. Kwani spika ni mkubwa kuliko waziri mkuu? Mbona Pinda mwenyewe alionja zomea zomea Mwanza? Hakuna heshima kama mtu unafanya mambo ya kipumbavu na ujinga juu. Mtu anaheshimika sio kwa cheo chake, bali kwa mambo anayoyafanya, na hasa linapokuja suala linalogusa maslahi ya Taifa. Hata baba, anakuwa baba kama anatimiza wajibu wake tu. Lakini kama baba alifanya kazi ya kutoa sperm tu, na kuziacha kwa mama halafu hawajibiki na matokeo ya sperm zake (Mtoto), hawezi kupewa heshima ya baba. Mbona hata Mbwa wanatoa sperm, lini umesikia mbwa mtoto akiwa karibu na baba yake? So hapa ndipo tulipofika watz!
 
Siyo hilo tu, viongozi wakuu wa CHADEMA hawawezi kukwepa lawama ya kushiriki moja kwa moja kumtusi Madame Spika.
Staha ya majadiliano hakuna na mimi sishangai sana uelewa wa viongozi wengi wa CDM, hawana tofauti sana wa wan JF, ambao hurusha matusi ya nguoni wanapojikuta wamebanwa.

Una Jina zuri lakini hoja zimepwaya ndugu masopakyindi
 
Ni wazi Anna Makinda ametuonea Watanzania, lakini kamwe hatuwezi kumkataa kwa kumtukana. Ni sharti tujue kuwa siasa za matusi hazitakiwi. Tumng'oe kwa hoja na nguvu ya umma, si umma kumtukana
Rafiki yangu wakati mwingine ujue kuwa mtu mzima anapofikia kukutukana kwa tabia au matendo uliyomtendea ujue yuko hatua moja kabla hajakupiga au kukutendea jambo lingine baya zaidi.
Hao wakazi wa Dar wanakuambia wanaoga maji kwenye kopo halafu mtetezi wao ananyanyasika anapotaka wao wapate maji. Wewe unadhani katika hali ya namna hiyo mtu atamwandikia madam Spika lugha gani?
Ustarabu alitakiwa auonyeshe Spika na Naibu wake kwanza,unapomnyanyasa Mbunge awe wa upinzani au wa CCM umenyanyasa au kuwadharau maelfu ya watu waliomtuma na tegemea chochote utakapo kutana nao.
Nawasifu Chadema kwa kutoa namba ili watu wa kawaida kabisa wafikishe hisia zao kwa WATAWALA viburi.
 
Tangu chama cha Demokrasia na maendeleo kifanye mkutano wa kuhamasisha wananchi kuwawajibisha Viongozi/watawala wao, kuna wengine wametumia mwanya huo kufanya ndivyo sivyo. Hali hii imeleta mtafaruku kati ya jamii na baadhi ya asasi pamoja na watawala.

Kwanza niseme wazi kuwa mwananchi kufanya mawasiliano na mtawala wake kwa njia yoyote ile ni haki yake ya msingi, hivyo CDM kugawa namba ya viongozi hao haikuwa dhambi ukizingatia kuwa namba za mawasiliano yao zilikuwa wazi katika mitandao na kwenye ofisi zao hata kabla ya mikutano hiyo ya CHADEMA kufanyika. Hivyo kitu cha msingi hapa ni kulaumu watu waliotumia namba hizo kwa matumizi mengine na si yale ambayo yalikusudiwa.

Makinda na Ndugai kama binadamu wengine wanaweza kukosea katika maamzi yao, na pale walengwa wanapoona kuwa hawajatendewa haki wanayo sababu ya kupaza sauti ya kudai haki yao (Ila si kwa njia ya matusi kama ilivyotokea). Nina imani Viongozi wa CHADEMA waliwatuma watu wakapaze sauti zao au kuwauliza watawala wao kuwa haya mnayoyafanya ndiyo tuliyowatuma?!na si kuwatukana. Sasa kama kuna mtu amefikia hatua ya kutoa lugha za matusi au vitisho vya namna hiyo, sasa hiyo ni kazi ya vyombo vinavyohusika kuwafuatilia wahusika na kuwawajibisha kwa mjibu wa sheria za nchi.

Angalizo: katika suala hili, vyombo navyo vya habari vimejikuta vikitumbukia katika sakata hili na kuanza kulaumu CHADEMA kama vile ndicho kimesema watu wafanye hivyo. Hili suala linafaa kuangaliwa kwa kina ukizingatia kuwa hata vile vyombo ambavyo vimekuwa kipenzi cha wasikilizaji wengi, sasa vinatumiwa kama vyombo vya propaganda kwa watawala na serikali iliyopo madarakani.

TUKUMBUKE KUWA SEHEMU NYINGI ZIMEKUMBWA NA MACHAFUKO KUTOKANA NA SERIKALI TAWALA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI KUPOTOSHA UKWELI.

TUKUMBUKE KUWA: Maandiko yanasema kuwa atendaye mema hulakiwa kwa ndremo na vifijo, na Yule atendaye maovu huzomewa na hata asipate pa kuficha uso wake.

Tafakari.
 
Na sasa ni wakati wa CDM kuweka wazi lengo la kutoa number na kusisitiza wananchi kuendelea kutuma ama kupiga simu
kwa lengo la kushinikiza na sio kutukana.
 
Nakubaliana na wewe kuwa tatizo si kutoa namba bali ni namna zinzvyotumika. Lakini pia ni jambo zuri viongozi wakajua jinsi wananchi wanavyo waona katika utendaji wao. Kwa kesi ya Makinda na Ndugai inabidi wavumilie na kufurahi kwani wanapata moja kwa moja hisia za wananchi juu ya utendaji wao. Viongozi wote ni watumishi wetu hakuna haja ya kuficha namba zao. Tunahitaji pia namba za rais, waziri mkuu, mawaziri.wote na viongozi wote wa upinzani kama Mbowe, Lipumb, Dr. Slaa, Mbatia, Mtikila nk. kwani ni haki yetu kuwasiliana nao, au kuwalalamikia wanaposhindwa kukidhi haja zetu. Wao ni public figure na wametaka wenyewe hivyo hawawezi kutukwepa.
 

Kamanda Lema akitaja namba za Spika Makinda baada yakuambiwa na Zitto aliye simama karibu yake.
Katika mkutano wa CHADEMA Temeke juzi aliyetaja namba za simu za Spika na za naibuSpika ni Kamanda Lema ,lakini Zitto ndiye aliyemuambia azitaje ,je Zitto hananamba za Spika ??au alitaka nini kumuambia Lema azitaje namba za Spika??Miminafikiri :
Kwanza-nafikiri kuna jambo hapa ,ZZK bado anaamini ananafasi ndani ya CCM na hataki kwa namna yoyote ile kujenga uadui na Spika nawakuu wa CCM kwani anajua nafasi yake ndani ya CCM itategemea watu hao.
Pili-ZZK aliamini kumwambia Lema azitaje namba hizoatamuingiza Lema kwenye matatizo kwani kama namba hizo zikitumika ndivyo sivyolabda Lema anaweza kuhojiwa au kusumbuliwa na ppolisi
Yapo mengi ya kujiuliza hapa kwa nini ZZK hakutaja hizonamba yeye mwenyewe
Bado naamini ZZK ni mwanachama wa CDM mwenyemapenzi na CCM
 
sasa unakoelekea kama Zitto hatakuwa baba wa watoto wako sijui ,wewe na Zitto daily kazi ipo,haya ngoja kina MWARANYA sijui na kina aweda ,saanane waje kukujibu
 
​Wahi Mirembe inaelekea una mtindio wa ubongo!
 
Namba za viongozi sio siri na wala si kosa la jinai kuwa nazo. Tatizo ni yule anayezitumia vibaya
 
hayo ni mambo ya kawaida, hakuna ubaya. Ushirikishwaji ni sehemu ya uongozi
 
Back
Top Bottom