Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,627 Feb 19, 2013 #61 wachapishe matusi yote alotukanwa makinda. wasituuzie mbuzi kweny gunia
Isaac JK JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 563 Reaction score 92 Feb 20, 2013 #62 mbona umeng'ang'ania hiyo hoja ya matusi au umeshamtukana
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Feb 20, 2013 #63 Magamba hawajui maana ya matusi... Kama Mnyika alimuita rais ni dhaifu akaambiwa ni tusi, kuambiwa wajiuzulu kwao litakua tusi kubwa sana.
Magamba hawajui maana ya matusi... Kama Mnyika alimuita rais ni dhaifu akaambiwa ni tusi, kuambiwa wajiuzulu kwao litakua tusi kubwa sana.