mwakichi
JF-Expert Member
- May 14, 2011
- 417
- 95
Hivi majuzi shirika la kimataifa la Aicc limewapatia notisi ya miez 6 kw baadhi ya wapangaji wake ktk mtaa wa soweto kwa maelezo ya kutaka kuzivunja nyumba hizo na kiziboresha zaid..
nadhan Aicc wamechemsha kwa kutoa notis kwa baadhi ya wakazi kwan walitakiwa watoe kwa wakaazi wote wa soweto na hata kijenge ili kujenga nyumba zitakazoendana na hadhi ya jiji la arusha kwan soweto ipo mjini kbsa na wangepata fedha zaidi kwa ujenzi huo..