black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Achana na matecno... ongezea 100k hapo nikususie kitu cha Samsung j5 ili Dada yako akuheshimu..Habari za muda huu wakuu?
Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?
240k,bora ununue J8 kwa 250kMimi nataka tecno c8 inauzwa pesa ngapi
Post sent using JamiiForums mobile app
Nitakuelekeza mahali ununue moja kwa bei ya jumla,sababu mm nipo nje ya dar kwa sasa,na dukan kwang mbali kdgo so nitakupa maelekezo na ukimwambie nimeagizwa na bero atakupa hata moja kwa bei ya jumla...Mkuu nielekeze nahitaji muda huu natoka kimara kuja mjini kati
Post sent using JamiiForums mobile app
Vipi haisumbui mkuu? Maana nasikia tecno zinasumbuaga kweli
J5 itakuwa sh ngapi mkuu??Mnunulie Samsung galaxy j3 ili awe anakula selfie kalii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetufata na hku rubii mbona unakuwa kama mange!!!Usithubutu!!
Watu na kaka zao duniani[emoji29]...
Mnunulie Tecno kali najua watoto wa mjini wanapenda camera.. ndio maana tumejazana kwa tecno
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
350k tu.J5 itakuwa sh ngapi mkuu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetufata na hku rubii mbona unakuwa kama mange!!!
Sawa mkuu na hiyo j8 uwezo wake ni mkubwa kuliko c8 na vp camera yake240k,bora ununue J8 kwa 250k
hivi tukiachana na finger print ina sifa gani ingine? maana anayo mtu fulani haina 4G ,CAMERA SIO NZURITechno w5 fingerprint iko vzr kwa hyo hela yako.
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mrembo kama ww haifai utumie techno bana!
Wanaume wa Dar hovyo kabisa kutoa huduma!
Njoo Kyela uchukue Iphone 7 plus unlocked
Ni PM
Infinix miniHabari za muda huu wakuu?
Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?
Wewe huna kaka jamani?Watu na kaka zao duniani[emoji29]...
Mnunulie Tecno kali najua watoto wa mjini wanapenda camera.. ndio maana tumejazana kwa tecno
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app