Mshauri aachane na simu ya touch akahangaikie shule kwanza aje amiliki simu ya milioni hata kumiAna miaka 17... mwakani anaingia chuo.
nnao wawili hawajawahi kunipa hata kiberiti ila nafua napika nawatandikia mpaka vitandaWewe huna kaka jamani?
Post sent using JamiiForums mobile app
it is not fair jamani,mimi dada zangu nawapenda sana hadi huwa nawapikia na kuwafuliannao wawili hawajawahi kunipa hata kiberiti ila nafua napika nawatandikia mpaka vitanda
Post sent using JamiiForums mobile app
yaaaa, binge la cmMpatie tecno c7
Boom J8Habari za muda huu wakuu?
Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?