Kwa hii hela nitapata simu gani nzuri?

Kwa hii hela nitapata simu gani nzuri?

Habari za muda huu wakuu?

Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?
Achana na matecno... ongezea 100k hapo nikususie kitu cha Samsung j5 ili Dada yako akuheshimu..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nielekeze nahitaji muda huu natoka kimara kuja mjini kati

Post sent using JamiiForums mobile app
Nitakuelekeza mahali ununue moja kwa bei ya jumla,sababu mm nipo nje ya dar kwa sasa,na dukan kwang mbali kdgo so nitakupa maelekezo na ukimwambie nimeagizwa na bero atakupa hata moja kwa bei ya jumla...
 
achana na tecno hasa W3 ni mbovu cpu yake sio imara hyo bei 250k unapata Samsung grand prime+ ni bonge moja la simu tena ya mwaka huu imetoka camera safi android 7 nougat chaji inatunza vzur
Hatajuta ukimnunulia hyo lakin tecno miez 6 tu ushapeleka kwa fundi tena hiz tecno mpya cjui L mara N sio imara sanaa
Nunua hyo naamini utanipa hata hela ya jebel
 
Watu na kaka zao duniani...
Mnunulie Tecno kali najua watoto wa mjini wanapenda camera.. ndio maana tumejazana kwa tecno

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app

Mrembo kama ww haifai utumie techno bana!
Wanaume wa Dar hovyo kabisa kutoa huduma!
Njoo Kyela uchukue Iphone 7 plus unlocked
Ni PM
 
Techno w5 fingerprint iko vzr kwa hyo hela yako.

Post sent using JamiiForums mobile app
hivi tukiachana na finger print ina sifa gani ingine? maana anayo mtu fulani haina 4G ,CAMERA SIO NZURI

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu ukishanunua simu aanze kuchati na bwana ake Fb ,whatsapp

hapo ndipo utajua Maisha na mziki

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyo dogo ana omiaka mingapi? Na yupo level gani ya life.. other wise a good act could be bad act.
Back to topic.. cmu yoyote poa but Techno!
 
Kaka huyoooi...!! Amepata ngapi mdogo wako matokeo ya form six..??

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Njoo nikuuzue yangu chapu nikapige balimi zangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari za muda huu wakuu?

Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?
Infinix mini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Watu na kaka zao duniani...
Mnunulie Tecno kali najua watoto wa mjini wanapenda camera.. ndio maana tumejazana kwa tecno

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Wewe huna kaka jamani?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom