Dear Google Do better Please ๐ก
Google bhana sijui anajionaje, Google imeongeza uwezo wa kubadilisha muonekano wa App Icons kwenye simu za Pixel kupitia Custom Icon Styles, lakini inaonekana si kila mtu ameridhishwa na matokeo yake! ๐
Baadhi ya mitindo ya icons inaonekana kutokuwa na mvuto wa kutosha, huku watumiaji wakitarajia muonekano wa kisasa zaidi, Wenye ubora na ubunifu unaoendana na kiwango cha simu za Pixel.
Ni kweli Google imetupa customization tuliyoitaka au bado kuna kazi ya kufanya? ๐ค Dear Google, Tunataka uhuru zaidi wa kubadilisha muonekano wa simu zetu bila mipaka!
๐ฅ Wewe unaonaje? Google iboreshe hizi icon styles au unaridhishwa nazo kama zilivyo?
#googlepixel #android #pixeldrop #bongotech255