chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 645
Habari zenu wakuu ..??ok leo nilikuwa nataka tuzungumzie hii true story ya hii series movie hiitwayo VIKINGS najua mnajua kama hii ilikuwa ni true story. Ambayo ilitokea kwnye huu ulimwengu wetu tunao ishi miaka ya nyuma uko sasa nilikuwa naitaji tupeane badhi ya vitu ambao meiangalia hi movie jee ulipenda season gani,ulipenda epsod gani,muhusika gani ulimpenda sana.
Ulipenda maneno ya muhisika gani uliyapenda sana.Kwa mimi nilipenda season ya tatu epsode ya nane pale Vikings tribe walivyokwenda vamia Paris frankia,muhusija niliye mpenda sana alikuwa ni Athelstan priest.
Maneno niliyo yapenda ni ya Athelstan priest alivyomwambia bwana Regnard walivyokuwa kwnye ule mtumbwi wakichukuliwa mateka alimwambia maneno aya"It was foretold that divine punishment would fall upon God's chosen people for all our grievous sins and so it has Happened".
Kiukweli hii series ni nzuri sana tusubiri season ya tano itakuwaje.....