haya amka kako*joe urudi kumalizia usingzi
Weka umri wako kwanza tuone harafu hujasema kama wa kuku oa yupo tayar ili iwe raisi tujue pa kuanzia
Mkuu ni kujipanga namna gani utaishi mara baada ya kuowa kumbuka kuwa ni lazima utafute mtu mnayeendana usijetafuta ile maneno ya mjini demu mkali kumbe anakuja kimaslahi
Kuna kile kipindi cha tv ya NTV siku ya harusi jamaa amevaa poa akamwambia dj mwaga ngoma,wimbo unaitwa demu wangu amemloki DJ
:smile-big:
Msichana nae akachagua wimbo unaimbwa wewe ni useless kama kijembe kwa mumewe
To be marriege?
Ulishawahi kufanya mapenzi au ndo utaanza ukioa?25 yrs,
Are you married?
25yrs unahitaji kuoa, umri it's okay! Katika hali ya sasa ndoa inahitaji Uchumi na mtu sahihi, mapenzi pekee hayatoshi kuifanya ndoa idumu. wanawake wa sasa wengi wanapenda kila kitu kiwepo wao waje watumie! Hivyo jipange vema na kutafuta mtu sahihi atakae kubaliana na hali yako!
amekosea tu hakuna binadamu asie kosea. lugha ya watu hii.
Are you married?
Ulishawahi kufanya mapenzi au ndo utaanza ukioa?