Kwa hesabu hizi CHADEMA/Lowassa hawatashinda ng'oo

Status
Not open for further replies.
Wanabodi na Mazombie,

nimeangalia mchakato wa kura za maoni za cdm na cdm na nimeona vitu viwili ambavyo Kwangu ni conclusion ya kuwa Lowassa atashinda uchaguzi unaokuja kwenye ndoto zake na za wale makuhani wawili aliowanunua, yaani mbowe na baba mkwe wake.

1. Ukiangalia wajumbe waliojitokeza kwenye kura za maoni za ccm unaona wamejitokez kwa maelfu kwa maelfu. Mtu mmoja anapata kura elfu ishirini. Sasa kwa cdm mazombie wajumbe idadi Yao ni Mia. Nimeangalia mtu Kama ester bulaya anapata kura 30 na kitu. Sasa swali jepesi kura za cdm zitatoka wapi Kama sio kuanzia kwa wanachama wake kwanza?

2. Shauku na furaha ya wanaccm iko wazi na inaonekana kwenye nyuso zao kwenye mchakato huu. Lakini haikuwa hivo kwa cdm. Wao furaha yao ni kwa lowassa as if yeye ana kura za maelfu. Hii observation kwangu inaonesha ccm wacko 'charged up' kwa ajili ya mtanange wenyewe Oktober.

sasa kwa hayo cdm Haina hesabu za kushinda uchanguzi huu. Mazombie wako caught up na excitement ya lowassa na kusahau yakuwa, hamna mtu aliyena uhakika lowassa ana kura ngapi hasa nyuma yake.

Katika mafala, mafakuda na makuadi Wa ufisadi wewe ni nambari Wahedi! Unazungumzia hesabu kwa maana ya takwimu! Kisha unamtaja Esther Bulaya pekee!!! Sample yako ni fyongo!! Umebugi! Huna idea ya social research science! Wewe ni mbwiga! Sample yako sio représentative!! Rudi skuli ujipange upya! Bs
 
Unasemaje kuhusu wadhamini mil 1.6 wa Lowassa
hoa ni wadhamini wa mtandaoni, hakuna cha wadhamini wala nini. Ni mbinu ya mbowe/lowasa ili kuuonesha umma kwamba hawakukosea kumtupilia mbali dk.slaa, wanatumia idadi ya wadhamini kuhalalisha ujangiri dhidi ya demokrasia.
 
Hivi unajua wanaopiga kura chadema ni wajumbe maalumu na wanaopiga ccm ni wanachama....hata chadema wangepiga wabachama ungeona mafuriko ya watu
Achana naye huyo haelewi kitu mkuu! Sijui hata alifikiria nini kuuleta huu uzi hapa? Yaani haelewi tofauti ya wapiga kura wa CCM na CHADEMA.
 
UKIBISHA UNA MATATIZO

Ndani ya CCM alipata wadhamini 870,000.

Ndani ya CHADEMA amepata wadhamini 1,674,377

Jumla ya wadhamini (wanachama) ni 2,544,377.

Hao ni wale wenye kadi za vyama vya siasa waliojitokeza kumdhamini.

CUF na NCCR mageuzi kwa ujumla wao wana wanachama zaidi ya millioni 3.

Ukiingeza hapo unapata kura zaidi ya millioni 5 hivyo kuzidi idadi aliyoshinda JK uchaguzi uliopita.

Nimejifanya kama nimeyasahau makundi kama 4u movement, team Lowassa, L4P, Lowassa comred n.k ambao jumla yao ni zaidi ya watu millioni 7.

Hahahahaha, raha mtupu......

Wakijaribu kufunga kwa goli la mkono na sisi atadaka mchezaji ambae sio golikipa!!!
 
hoa ni wadhamini wa mtandaoni, hakuna cha wadhamini wala nini. Ni mbinu ya mbowe/lowasa ili kuuonesha umma kwamba hawakukosea kumtupilia mbali dk.slaa, wanatumia idadi ya wadhamini kuhalalisha ujangiri dhidi ya demokrasia.
Kujifariji ruksa
 
Unasemaje kuhusu wadhamini mil 1.6 wa Lowassa

Kapotolo ndugu yangu siasa ni propaganda. Nani alizikagua hizo form Kama kweli ni za wadhamini1.6 million? Zilizoletwa mbele yetu zilikuwa baadhi tu. PIa hao wadhamini wanaweza wakawa ndio wanachama wa cdm na sio lazimi wakawa wafuasi wapya. Siasa ni usanii ndugu yangu Kama CHADEMA walivyowafanyia usanii wanachama wake kwakusajili gamba.
 
Lowassa Alipata wadhamini mil 1.6
 
Nieleweshe mkuu hivi wadhamini 870,000 si alizunguka mikoani. Sijajua hii 1.6 kwa mda wa siku 1 mpaka 3. Je angezunguka mikoa kama kwa maccm ingekuwaje. Ametisha
 
Kura za CHADEMA za serikali za mitaa zilitoka kwa baba yako wa kambo.Mwambie october abane.
 
UKIBISHA UNA MATATIZO

Ndani ya CCM alipata wadhamini 870,000.

Ndani ya CHADEMA amepata wadhamini 1,674,377

Jumla ya wadhamini (wanachama) ni 2,544,377.

Hao ni wale wenye kadi za vyama vya siasa waliojitokeza kumdhamini.

CUF na NCCR mageuzi kwa ujumla wao wana wanachama zaidi ya millioni 3.

Ukiingeza hapo unapata kura zaidi ya millioni 5 hivyo kuzidi idadi aliyoshinda JK uchaguzi uliopita.

Nimejifanya kama nimeyasahau makundi kama 4u movement, team Lowassa, L4P, Lowassa comred n.k ambao jumla yao ni zaidi ya watu millioni 7.

Hahahahaha, raha mtupu......

Wakijaribu kufunga kwa goli la mkono na sisi atadaka mchezaji ambae sio golikipa!!!

kwenye post yangu ya nyuma nilimwambia pasco aache story za kufikirika. Wewe pia acha. Unaugonjwa mbaya. Labda kukurekebisha kidogo, makundi ya lowassa walisema wanawafuasi 10 million.
 
Wanabodi,

nimeangalia mchakato wa kura za maoni za cdm na cdm na nimeona vitu viwili ambavyo Kwangu ni conclusion ya kuwa Lowassa atashinda uchaguzi unaokuja kwenye ndoto zake na za wale wawili aliowanunua, yaani mbowe na baba mkwe wake.

1. Ukiangalia wajumbe waliojitokeza kwenye kura za maoni za ccm unaona wamejitokez kwa maelfu kwa maelfu. Mtu mmoja anapata kura elfu ishirini. Sasa kwa cdm wajumbe idadi Yao ni Mia. Nimeangalia mtu Kama ester bulaya anapata kura 30 na kitu. Sasa swali jepesi kura za cdm zitatoka wapi Kama sio kuanzia kwa wanachama wake kwanza?

2. Shauku na furaha ya wanaccm iko wazi na inaonekana kwenye nyuso zao kwenye mchakato huu. Lakini haikuwa hivo kwa cdm. Wao furaha yao ni kwa lowassa as if yeye ana kura za maelfu. Hii observation kwangu inaonesha ccm wacko 'charged up' kwa ajili ya mtanange wenyewe Oktober.

sasa kwa hayo cdm Haina hesabu za kushinda uchanguzi huu. Wenyewe wako caught up na excitement ya lowassa na kusahau yakuwa, hamna mtu aliyena uhakika lowassa ana kura ngapi hasa nyuma yake.

Mkuu tUlia kampeni zianze uwone mzee lowasa alivyo mbaya kwa siasa za bongo
 
Sasa wewe una ushahidi gani wa kukataa....

Kwa sababu sjaona izo document.na niko musoma karibu na makao makuu ya chadema sjaon watu zaid ya mia wanaingia ofisni hata kwa shuli za kawaida.hao elfu sabin wamewatoa wapi musoma.ndani ya sku tatu tuseme wanakuja elfu 30 kila siku si wangefunga mji . Fikiria kaka usilazimishe fikra.ww tu hujamdhamini.
 
Wanabodi,

nimeangalia mchakato wa kura za maoni za cdm na cdm na nimeona vitu viwili ambavyo Kwangu ni conclusion ya kuwa Lowassa atashinda uchaguzi unaokuja kwenye ndoto zake na za wale wawili aliowanunua, yaani mbowe na baba mkwe wake.

1. Ukiangalia wajumbe waliojitokeza kwenye kura za maoni za ccm unaona wamejitokez kwa maelfu kwa maelfu. Mtu mmoja anapata kura elfu ishirini. Sasa kwa cdm wajumbe idadi Yao ni Mia. Nimeangalia mtu Kama ester bulaya anapata kura 30 na kitu. Sasa swali jepesi kura za cdm zitatoka wapi Kama sio kuanzia kwa wanachama wake kwanza?

2. Shauku na furaha ya wanaccm iko wazi na inaonekana kwenye nyuso zao kwenye mchakato huu. Lakini haikuwa hivo kwa cdm. Wao furaha yao ni kwa lowassa as if yeye ana kura za maelfu. Hii observation kwangu inaonesha ccm wacko 'charged up' kwa ajili ya mtanange wenyewe Oktober.

sasa kwa hayo cdm Haina hesabu za kushinda uchanguzi huu. Wenyewe wako caught up na excitement ya lowassa na kusahau yakuwa, hamna mtu aliyena uhakika lowassa ana kura ngapi hasa nyuma yake.

Uko sawa mkuu CCM itashinda asubuhi na mapema
 
Kwa sababu sjaona izo document.na niko musoma karibu na makao makuu ya chadema sjaon watu zaid ya mia wanaingia ofisni hata kwa shuli za kawaida.hao elfu sabin wamewatoa wapi musoma.ndani ya sku tatu tuseme wanakuja elfu 30 kila siku si wangefunga mji . Fikiria kaka usilazimishe fikra.ww tu hujamdhamini.
Nenda makao makuu kazione, kazi unayo kama ulikuwa siku nzima unasubiri kuona wanaoingia ofisini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom