Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
vipi unaenda kusomea polini ambako hamna network au unatumia computer za ofisini kwenu. Sikiliza dogo JF ni popote jitahidi utembelee japo mara chache
Kaka hata kama unapenda kuconcetrate, huwezi ukapata hata nusu saa kwa wiki ukapitia pitia hapa? kama ulivyoeleza hapo mwanzo kuwa hapa ni kuchat na kuelimishana, ukizidiwa na homework basi tunaweza tukakusaidia kutatua assignment zako.Kuna chuo gani ambacho kipo porini na wewe? Tatizo ni kwamba mimi huwa napenda kuncentrate kwenye kitu kimoja na sipendi kuchanganya mchele na unga
Kaka hata kama unapenda kuconcetrate, huwezi ukapata hata nusu saa kwa wiki ukapitia pitia hapa? kama ulivyoeleza hapo mwanzo kuwa hapa ni kuchat na kuelimishana, ukizidiwa na homework basi tunaweza tukakusaidia kutatua assignment zako.
Kila la kheri
Kuna chuo gani ambacho kipo porini na wewe? Tatizo ni kwamba mimi huwa napenda kuncentrate kwenye kitu kimoja na sipendi kuchanganya mchele na unga
Ukijivua gamba usiache kutujulisha!!
Masomo mema.
Ni shule gani hiyo kusipokuwa na Network?
lolz! jiwekee ratiba ya kuperuz humu hata lisaatu kila jmos iv.
duh inaonekana ww ni slow learn enh had unahitaji utulivu wa hali ya juu ivo dah.
nways goodbye nitakumis pia hapa jamvini.
Asante. Kujivua gamba ndio nini?
we utakuwa ni kilaza tu,...mbona watu tunapiga madegree ya pili na jf tunaingia..labda uniambie huwa unakesha jf kama faiza foxy
New ID
ndio maana anauliza chuo kipi jamani??Kuna chuo gani ambacho kipo porini na wewe? Tatizo ni kwamba mimi huwa napenda kuncentrate kwenye kitu kimoja na sipendi kuchanganya mchele na unga
ndio maana anauliza chuo kipi jamani??
haya all the best wenzio udsm mzumbe ndio sehemu yao hii ya kujisahaulisha na supu ingawa zipo wakiingia huku wanahasi washapasua nawakigusa pepa wanapita sijui huko ugaibuni mwanangu safari njema mpwa
Kumbuka afghanistan ujikoki kikwelii lazima uanze kusomea ile dini yetu kwanzaa mwaka ndio usonge mbele