Disable 'dictionary' kwenye simu yako. Inakufanya unachapia. Hio Reno nahisi ni Neno, Joppa ni Jipya.Serikali inayohaki ya kuhamisha raia ili kupasha miradi ya maendeleo, lakini ni muhimu raia walipewa pesa zinazolingana na soko la sasa la mali zao na wapewe eneo jipya la kuhamishia ma kazi.
Ni jukumu la serikali pia kuhakikisha Reno hilo Joppa Lina huduma muhimu kama maji, umeme, shule, zahanati, kituo cha polisi mkuu.
Unaweza kuta ujenzi ukaanza 2023!Imepigwa chini pia!
Kwa bomoa bomoa ilivyo kasi na kuchukua eneo kubwa nadhani hiyo Morogoro road itakuwa na 8 lanes.!
Kutokujua sheria sio excuse ya kutowajibishwa kisheriaYaaan inatia huruma,hii ni dar!ukienda tabora nako nyumba zinaweza fika elfu 20 nimepigwa alama ya X kwa kujengwa eneo la reli maeneo ya Kiloleni,yaani mpaka unasema wahusika walikuwa wapi wasiwaambie mapema!kilio kikubwa saana!nguvu aliyotumia mtu kujenga awali wachache saana watajenga tena,wengi hawajiwezi
Sasa utamuuzia sehemu isio na barabara? Atafikaje kwake?Yaani sasa hivi huwezi kumuuzia mtu nyumba au kiwanja halafu uweke fact kwamba ipo mita chache kutoka barabarani au iko barabarani ukishuka gari unaingia ndani kwako !weee!
Hapana. Hii kanuni ya 12 years ni kwa yule aliyekuwa wa kwanza kusafisha pori lisilo milikiwa na mtu, lakini kuwahi eneo la mtu na kukaaa hapo kwa muda mrefu hakuhalalishi umiliki wako ( a trespasser remain a trespasser). Lakini vile vile mmiliki anatakiwa akutoe/ akushitaki ndani ya miaka 12 la sivyo nae haki yake itapotea hasa kwa unservayed area. Kumbuka hizi kanuni ni kwa migogoro ya watu binafsi tu na sio serikali. Serikali ukomo wake wa kudai ardhi ni miaka 60. Ni somo refu kidogo, naishia hapo. Nieleweke kuwa hili ni somo la kisheria na sio kwamba naunga mkono bomoa bomoa. Ni vema ingalau kujua.Hivi si sinasikia kuna sheria ikiwa mtu hata kama amevamia eneo na akakaa mahali hapo bila bughudha kwa miaka 12 automatically hilo eneo linakuwa lake,sasa kwa issue hii vipi kwamba watu wapo tokea 1970's huko leo ndio wanaambiwa wavamizi.
Wakuelewa 2meelewa mkuu....Disable 'dictionary' kwenye simu yako. Inakufanya unachapia. Hio Reno nahisi ni Neno, Joppa ni Jipya.
Walishapauza muda mrefu,ndiyo maana iliwahi kuitwa Mbombeye.Suzan yupo Golani na aliyekuwa mmewe Cathbert ni mmiliki wa shule huko MbeyaWakati inaanza ilikuwa inamilikiwa na mtu na mke wake Suzan na Cathbert, na ndio jina SUCA, sijui wana hali gani, hili la kufurahia watu wanapopatwa na majanga kama kuvunjiwa, kutumbuliwa linamaanisha nini?
Naomba kuuliza mlio karibu na hapo Dsm.Ama kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe..ile..motel kongwe kabisa ya Kimara suka..ambayo ilifanya had kituo cha daladala kuitwa suka..hatimae imekula nyundo katika bomoa bomoa.
Asalam aleykhum.
Upo sahihi kabisa dada,lakini serikali haiwezi kuwapa fidia watu waliojenga sehemu isiostahili au waliokwishapewa fidiaSerikali inayohaki ya kuhamisha raia ili kupisha miradi ya maendeleo, lakini ni muhimu raia walipwe pesa zinazolingana na soko la sasa la mali zao na wapewe eneo jipya la kuhamishia ma kazi.
Ni jukumu la serikali pia kuhakikisha eneo hilo jipya lina huduma muhimu kama maji, umeme, shule, zahanati, kituo cha polisi nk.
Hapo pia ni karibu sana mkuu!Unaweza kuta ujenzi ukaanza 2023!
Nimekula nyama choma saafi kabisa juzi Kati,kumbe ilikua kwaheri mwalimu,very bad,lakini kwanini watu wateseke na nchi ni Yao.Duh, nyamachoma safi na vyumba vya fasta
Yaaan inatia huruma,hii ni dar!ukienda tabora nako nyumba zinaweza fika elfu 20 nimepigwa alama ya X kwa kujengwa eneo la reli maeneo ya Kiloleni,yaani mpaka unasema wahusika walikuwa wapi wasiwaambie mapema!kilio kikubwa saana!nguvu aliyotumia mtu kujenga awali wachache saana watajenga tena,wengi hawajiwezi