Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Una uhakika hawakuambiwa??
nachomaaanisha mwenye aliijenga toka mwaka 1994,lakini hakuambia hayo kwakuwa hifadhi ya barabara ilikuwani mita 8 tu!!
Una uhakika hawakuambiwa??
Tabora Awamu ya std gauge inaweza kuwa 2025 kwa kuwa awamu ya kwanza inaishia Morogoro 2019
Poleni wanyonge wenzangu
kabla ya kujenga una takiwa kufika ofisi ya mipango miji/ardhi kwa ajiri ya kupata kibali cha ujenzi... kikiwa na dhumuni la kukuruhusu, kukushauri nk kuhusu ujenzi wako... ukipata kile kibali una pata manufaa kama kufidiwa endapo utakutana na tukio kama hilo la bomoa bomoa...Yaaan inatia huruma,hii ni dar!ukienda tabora nako nyumba zinaweza fika elfu 20 nimepigwa alama ya X kwa kujengwa eneo la reli maeneo ya Kiloleni,yaani mpaka unasema wahusika walikuwa wapi wasiwaambie mapema!kilio kikubwa saana!nguvu aliyotumia mtu kujenga awali wachache saana watajenga tena,wengi hawajiwezi
Like jengo limejengwa back 80's na mradi kama ule huwezi kujenga kiholela bila vibali vya mipango miji na halmashauri, mkuu anatumia mabavu kwasababu watu wale wana hati miliki halali kabisa, nashindwa kuelewa anaposema hati miliki zile walipata kwa kuhonga, jambo hili si la kweli na ni upotoshaji mkubwa.kabla ya kujenga una takiwa kufika ofisi ya mipango miji/ardhi kwa ajiri ya kupata kibali cha ujenzi... kikiwa na dhumuni la kukuruhusu, kukushauri nk kuhusu ujenzi wako... ukipata kile kibali una pata manufaa kama kufidiwa endapo utakutana na tukio kama hilo la bomoa bomoa...
waende wakadai fidia... kama walitoa hongo wange takiwa kufikishwa mahakamani...Like jengo limejengwa back 80's na mradi kama ule huwezi kujenga kiholela bila vibali vya mipango miji na halmashauri, mkuu anatumia mabavu kwasababu watu wale wana hati miliki halali kabisa, nashindwa kuelewa anaposema hati miliki zile walipata kwa kuhonga, jambo hili si la kweli na ni upotoshaji mkubwa.
Weka pichaAma kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe..ile..motel kongwe kabisa ya Kimara suka..ambayo ilifanya had kituo cha daladala kuitwa suka..hatimae imekula nyundo katika bomoa bomoa.
Asalam aleykhum.
Wembe ni ule ule ushindiiiccm oyeee
Serikali inayohaki ya kuhamisha raia ili kupisha miradi ya maendeleo, lakini ni muhimu raia walipwe pesa zinazolingana na soko la sasa la mali zao na wapewe eneo jipya la kuhamishia ma kazi.
Ni jukumu la serikali pia kuhakikisha eneo hilo jipya lina huduma muhimu kama maji, umeme, shule, zahanati, kituo cha polisi nk.
Serikali inayohaki ya kuhamisha raia ili kupisha miradi ya maendeleo, lakini ni muhimu raia walipwe pesa zinazolingana na soko la sasa la mali zao na wapewe eneo jipya la kuhamishia ma kazi.
Ni jukumu la serikali pia kuhakikisha eneo hilo jipya lina huduma muhimu kama maji, umeme, shule, zahanati, kituo cha polisi nk.
Tuliambiwa Tutaisoma namba,huku ndiko kuisoma namba....ccm Hoyeeeee!!!CCM inafurahi kuwatia watanzania UMASIKINI.