Kwa heri Jamii Forums nimechoka na mateso mnayonipa

Kwa heri Jamii Forums nimechoka na mateso mnayonipa

Mkuu, jitafakari upya...Mods hawawezi kutoa tu uzi zako ..utakuwa unakosa
 
Nimechoka na mateso ya humu

Kila nikiandika serious thread wanazifuta ila nikiandika thread za mizaha zinabaki

Nimechokaa na hii tabia bora niwaachie mtandao wenu


Kwa herini
Masikini weeee,wenzie tumeshakuwa sugu Tunakomaa nao tuuuuu
 
Mm nilijuwa unakata Roho, ila kumbe ni kuacha kutumia JF!! Kususa ni tabia ya kizamani, pambana wasiliana na Mods au uongozi wa JF, mbona wengine tuna Bweda tu.
 
Kuna uzi moja majuzi mtamu kweli ila ulikuwa mrefu nikajiambia ni subscribe afu baadae niurudie. Baadae nimekuta empty umefutwa, kibaya zaidi sikukariri mwenye uzi angalau ningemfuata inbox
 
Muangalie na majina munayojiita ayo.....

Unajiita nungunungu afu unahitaji urafiki na binadamu
 
Back
Top Bottom