Kwa heri Jamii Forums nimechoka na mateso mnayonipa

Naaam! 100%
safi sana.. unaonaje ukaja kwangu..? hautachoka kamwe kwako itakuwa raha tu no shida no wida,no niga no giza
atakae kuja ntamliza!
mbwembwe kwa sembe,ugali so jembe!
unga kwa pembe atakumaliza kama kiwembe!
ha ha.. mziki huu wa jembe panga mpe kenge!.
 
Nimechoka na mateso ya humu

Kila nikiandika serious thread wanazifuta ila nikiandika thread za mizaha zinabaki

Nimechokaa na hii tabia bora niwaachie mtandao wenu


Kwa herini
What is serious thread when you are only a contributor to an existing thread so joining them makes plenty of sense to reduce multiplicities of similar threads and ease readership from rummaging sesame threads
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom