Kwako Invisible!
Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani. Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa.
Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwasababu CCM amewakataa watu wengi sana. Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.
Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!!! Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania!
Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwanini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune??????? Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.
People's Power!
Mimi pia bado siamini kama huyu ni mwita25 ninayemfahamu humu jf..Mbona kam siamini Mwita25! Nini kimekisibu au wamekurusha akina Nape ndiyo ukaon hawan maana! Pole lakini kwa kuwa umeomba msamaha huna budi kusamehewa lakini isije n ID nyingine ili kutupiga changa la macho na kuendelea na umbumbu wako ambao umekutesa kwa kipindi.
Yote kwa yote,tunakupa muda ili tuone michango yako kama imebadilika, halafu hebu weka wazi uovu wa Nape zaidi tumjue huyu jamaa na mbinu zake kama kweli ineokoka na jinamizi la Magamba.Mwita 25! Ni wewe au kuna mtu kaiba password yako?
Mkuu Mwita mimi bado ni Thomaso sijaamini, ngoja nipekue na kesho nipate jibu sahihi!!!!!!!!!!!!!!Kwako Invisible!
Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani. Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa.
Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwasababu CCM amewakataa watu wengi sana. Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.
Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!!! Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania!
Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwanini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune??????? Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.
People's Power!
Mimi pia bado siamini kama huyu ni mwita25 ninayemfahamu humu jf..
Kweli aisee. ID ya yule mwita25 kada wa ccm iko kwa herufi ndogo, wakati ya mwita huyu imeanza kwa herufi kubwa! Changa hili.Mhhh! kuna mtu kaingia kwenye server ya jf jamani, kiroja!
Na haya inabidi yakaingizwe kwenye guines book..lol.SL.....maaajabu hayataisha duniani!
Mathomaso tupo wengi, ila nasikitikia wenye ndoa za kudumu na CCM kama mkuu fulani mwenye deni la over a billion Tshs mpaka alipe awe na ubavu wa kuvua gamba, nampa pole!!!!!!!!!!!Mbona kam siamini Mwita25! Nini kimekisibu au wamekurusha akina Nape ndiyo ukaon hawan maana! Pole lakini kwa kuwa umeomba msamaha huna budi kusamehewa lakini isije n ID nyingine ili kutupiga changa la macho na kuendelea na umbumbu wako ambao umekutesa kwa kipindi.
Yote kwa yote,tunakupa muda ili tuone michango yako kama imebadilika, halafu hebu weka wazi uovu wa Nape zaidi tumjue huyu jamaa na mbinu zake kama kweli ineokoka na jinamizi la Magamba.