Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?
Hatuwezi kutarajia Chochote kutoka Magambani Full Stop so Haituhusu