Waache panya wafukuane wenyewe
Karibu kwetu cdm Shigela
hivi huwa wanaukwaa au wanazawadiwa?
mwanima shinyanga mpoooooooo martiny shigela kwishney hotahe.
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?