Kwa heri bwana Martin Shigela

Kwa heri bwana Martin Shigela

Nilichijifunza ni kuwa wanapokezana vijiti tu!! Mapunda kama nimjuavyo hanaga msimamo wala sio radical ni passive tu na mnyenyekevu saana kwa wakubwa wake plus kujipendekeza!! Hana atakalofanya jipya zaidi atazidisha makundi na atakuwa anavutwavutwa na wenye mtandao!! Time will tell mtanambia!! Hii ni experience niliyonayo wakati tunapambana kuingia UDSM tulipoambiwa tutafute udhamini wetu wenyewe (603)..2002!!
 
nilichojifunza ni kwamba ccm ni ukoo wa panya-wote hula na kupuliza kuachiana.
 
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?
Tumejifunza jinsi alivyokuwa bingwa wa kutoa pumba, nadhani alikuwa hafikiri kabla ya kuongea, alikuwa anakuwa nje ya maada most of the time, anaulizwa hiki anajibu kingiine!
 
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?

m-PM HAMY-D atakumabia walichojifunza, sisi hapa jukwaani hatuhitaji kujua
 
Nimejifunza kuwa harufu ya kinyesi itabakia kuwa kinyesi, kiwe cha mdhungu au mbongo.
 
Kwa CCM hakuna mtu anayefukuzwa ila ni kubadilishiwa cheo tu. Si muda mrefu mtamsikia katika cheo kingine kama DC au RC pamoja na ukilaza wake. Hivi hamjasikia mtu anaondolewa cheo halafu wanasema "atapangiwa kazi nyingine" au mtasikia "amerudishwa makao makuu" Hii ndio Danganyika ya CCM!
 
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?

kaka hakuna changes zozote atakazo kuwa nazo kwani atafuata watakachofanya wakubwa zake, hata km unauwezo binafsi.KUMBUKA ndiyo mara ya kwanza kushika cheo cha juu cha kisiasa.Akijitahidi sana atakuwa mtabili km Mzee Wassira.He has no new & we have nothing to learn about!
 
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?

Nafiliri hakuna cha kujifunza kwani watu huwa tunajifunza yaliyo mema na si mabaya hivi unategemea tutajifunza nini kwa huyo Shigela kwa mfano tuweke wazi/
 
Caha kujifunza hapo ni kulindana kwa sera zao wao hao unaotaka tujifunze kutoka kwao.
 
Hivi Shigella anavuta sigara? Mbona kama amezeeka mapema au ndo ujana ndani ya CCM? Mimi nilichojifunza kwa Mzee shigella ni kutokuiga tabia yake ya kutumia cheo kunasa warembo.Tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa mpaka sasa!
 
Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Morogoro Bwana Sixtus Mapunda ameteuliwa kuchukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Martine Shigela (Katibu Mkuu UVCCM), je vijana kuna lolote tulilojifunza kutoka kwa kaka Shigela na je bwana Mapunda ni kijana wa aina gani, je ataweza misukosuko ya siasa za leo?
Shigela alituhumiwa kuwa mtu wa Lowasa, na Mapunda alitengenezwa na Rostam (tafakari)
 
Nategemea watamtoa mbinde na mwenyekiti Taifa, subiri uone!
 
Back
Top Bottom