Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Waacheni wafu wazike wafu wenzao, sababu ya mapanya kumtoa panya mwenzao nini ?Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Morogoro Bwana Sixtus Mapunda ameteuliwa kuchukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Martine Shigela (Katibu Mkuu UVCCM), je vijana kuna lolote tulilojifunza kutoka kwa kaka Shigela na je bwana Mapunda ni kijana wa aina gani, je ataweza misukosuko ya siasa za leo?
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?